Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kigugumizi chote hicho ni majibu tosha... Yaani mtu amefanyiwa kwa aliyo fanyiwa na bado wanahitaji ushirikiano... shida iko wapi? hivi vyombo vyetu havina uwezo au ni danadana tu... na Yale ya Lissu ...ametoa ushirikiano au bado? mtu asipotoa ushirikiano, ni nini kinapaswa kufanyika? kuna uwezekana wa kuwalazimisha kutoa ushirkiano au ni hiari ya mtu tu? Nguvu kazi ya Taifa inaumia , kodi halipwi na mgonjwa kwa sababu ya kuumia , halafu alete ushirikiano? mbona ni kama kukwepa wajibu au ni mimi sielewi?
 
Hii inadhihilisha wahusika wa tukio ni polisi.maana hata sativa alisema walimupeleka osterbay polisi na kuanza kumpiga na kumfunga kitambaa na kuanza kumzungusha kwenye Noah nyeusi kuzunguka dar es salamu ili kumvuruga na hatimaye kumzungusha Tena mikoani na kumtelekeza katavi Kwa kumpiga risasi wakiamini wamemuua lakini Mungu anawaonyesha walivyo wauaji na kutumia Kodi zetu vibaya.kwa mauaji haya,polisi shenzi zenu kabisa na mavi yenu
 
Hilo ni bumunda tu
 
Hata mtoto wa darasa la tatu anakua kabisa who is behind all these shit
Nilisoma mahali kwamba mwenye madaraka aliyabatiza matukio ya aina hii kuwa ni 'Drama'!

Pengine waTanzania hawakuelewa, au hawajui maana ya hilo neno 'Drama', maana, kama wange elewa wangehoji!

Ni nani anayejuwa maana halisi ya hilo neno 'drama', atusaidie kulielewa vyema hapa.
 
Kwahiyo mkuu tufanyeje tutoe rambirambi ama?
 
Ok, kumbe tumekuwa serious sana kujadili igizo la Masauni na chura kiziwi.!!

So, kwa maana nyingine tunaruhusu nchi iwe ya drama mpaka kwenye uhai wetu?!
 
Ingekuwa ameumizwa mzanzibar mwenzake ungeona anavyofanya kazi kwa haraka na uchunguzi ungekuwa umeshakamilika na watuhumiwa wangekuwa mahakamani
Umenikumbusha FEISAL alivyoingia kwenye mfumo wa watoto wa Kariakoo. Angekua Shomari Kapombe ingekula kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…