Masega (catalytic converter) sio muhimu sana kwenye gari

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Siku ya leo nimekutana na jamaa kazini,alikuwa anawasimulia wenzie jinsi alivyokuwa amechacha sana,na akaamua kuchukua gari yake ya noah,na kwenda tabata dampo,wakatoa masega na akapata 335000/laki tatu na thelasini na tano faster,akasema gari yake imekuwa na nguvu na iko powa sana,,,nimegoogle na kuscreen shot maelezo,ebu pitia hapo..kama una la kuongeza karibu..
 
endelea kudanganya watu tu,jamaa yangu kapeleka brevis yake magomeni kagera garage siku inayofata ameifata amekuta wamelamba masega akatia mafuta ya 30,arudi kwake tabata kimanga anafika tu tabata dampo wese limekata na alipitia njia ya kigogo
 
Catalyst uzaa tu kama huna mawazo na mafuta, kwa sbb yanabalance mungurumo kwenye exsozi
 
Ameanza taratiiiibu kuelekea kibra huyo,keshokutwa ataona Hana pesa ataenda zake kugawa marinda maana ataona haina shida na atakupa na faida za kuyatoa marinda yake.

Hahahaha kuna mtu aliuza figo moja hela zikaisha
Siku nyingine akakuta tangazo wananunue kende akajiangalia akasema hivi haya yana kazi tena kwa sasa ? [emoji23][emoji23]
 
@LEGE
JituMirabaMinne
 
Wadanganye hivyo hivyo ila mm siwez kufanya , huo ujinga kwenye gari yangu ya mazda cx 5, kuna gari ukitoa Rpm haizid 1500 linajiweka limb mode moja wapo BMW,NISSAN DUALIS ,MAZDA ...YAANI UMENUNUA GARI MILION 26 HALAFU UNATOA MASEGA UNAUZA LAKI 3 , AISEE huyo sio mzima akapimwe mzungu sio mjinga
 
Bongo Kila kitu kwenye gari hakina umuhimu...

Kikubwa tu gari liwe linatembea hata kama gari linatembea huku linachechemea....
Umesema kweli kaka ,magari mengi yanapofika yanafanyiwa mod za ajabu ajabu unakuta feni ya rejeta imeugwa direct eti nchi zetu zinajoto , sesnsor za kwenye kioo mtu anaweka tinted juu yake .......watu wengi ni wapuuzi mwisho wa siku magari yakianza kusumbua wanasema ....kununua gari ni umaskini
 
Heheheeehee jamaa lina justify ujinga wake na evidence kabisa....kwahiyo hyo noah unauza bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…