Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanyengelo.Wadanganye hivyo hivyo ila mm siwez kufanya , huo ujinga kwenye gari yangu ya mazda cx 5, kuna gari ukitoa Rpm haizid 1500 linajiweka limb mode moja wapo BMW,NISSAN DUALIS ,MAZDA ...YAANI UMENUNUA GARI MILION 26 HALAFU UNATOA MASEGA UNAUZA LAKI 3 , AISEE huyo sio mzima akapimwe mzungu sio mjinga
Umesema kweli kaka ,magari mengi yanapofika yanafanyiwa mod za ajabu ajabu unakuta feni ya rejeta imeugwa direct eti nchi zetu zinajoto , sesnsor za kwenye kioo mtu anaweka tinted juu yake .......watu wengi ni wapuuzi mwisho wa siku magari yakianza kusumbua wanasema ....kununua gari ni umaskini