Masega (catalytic converter) sio muhimu sana kwenye gari

Masega (catalytic converter) sio muhimu sana kwenye gari

Wadanganye hivyo hivyo ila mm siwez kufanya , huo ujinga kwenye gari yangu ya mazda cx 5, kuna gari ukitoa Rpm haizid 1500 linajiweka limb mode moja wapo BMW,NISSAN DUALIS ,MAZDA ...YAANI UMENUNUA GARI MILION 26 HALAFU UNATOA MASEGA UNAUZA LAKI 3 , AISEE huyo sio mzima akapimwe mzungu sio mjinga
Kanyengelo.

Umeongea kwa uchungu sana yani mazda cx-5 ya 26m utoe sega la 350k. Shubhamit...
 
Sensor za kwenye kioo ukiweka tinted inaathiri nini? Zile sensor unafahamu zina kazi gani? Sometime unaweza ukawa unazungumzia kitu km unajua kumbe you prove hujui kitu

Umesema kweli kaka ,magari mengi yanapofika yanafanyiwa mod za ajabu ajabu unakuta feni ya rejeta imeugwa direct eti nchi zetu zinajoto , sesnsor za kwenye kioo mtu anaweka tinted juu yake .......watu wengi ni wapuuzi mwisho wa siku magari yakianza kusumbua wanasema ....kununua gari ni umaskini
 
Back
Top Bottom