profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Siku ya leo nimekutana na jamaa kazini,alikuwa anawasimulia wenzie jinsi alivyokuwa amechacha sana,na akaamua kuchukua gari yake ya noah,na kwenda tabata dampo,wakatoa masega na akapata 335000/laki tatu na thelasini na tano faster,akasema gari yake imekuwa na nguvu na iko powa sana,,,nimegoogle na kuscreen shot maelezo,ebu pitia hapo..kama una la kuongeza karibu..