Masela tuliotoka mikoani ambao tunaishi kwa shemeji zetu Dar tukutane hapa

Hahahahahaha


Sista akiwa anapigwa mjegejo halaf analalamika kwa sauti utavuta hisia nawewe?!
 
Niliambiwaga wanaume wa mikoani hawana sensor za kuona mizigo, kumbe nilidanganywa.
 
Miezi kumi kwa dada ako.? Unasikia kabisa anavyofumuliwa na lijamaa. Huu utumwa mi sijajaliwa bhana
 
Jf inaumbua sana watu. Huu ni ushahidi habari nyingi humu hasa majukwaa ya mmu na chi chat ni habari za kusadikika ingawa mtu anaweza jitutumua ionekane ya kweli. Kuna mwingine anadai ni mtz wa kwanza anaganya kazi Pentagon, ukicheki uzi zake za wiki iliyopita tu unatambua ni jamaa wa 'tandale'.
 
Tatizo hawajui kuongopa maana wanasahau mapema
 
Dada angu alipogundua nilikuwepo dar miezi 8 bila kumwambia na nikaondoka bila kwenda kwake si akanipigia simu kuni mind eti ningeenda kuwasalimu, Na ivi tumepishana miaka miwili tu nlimwambia aache useng.e

Ukweli mi hua siwezi kuchekacheka na semeji
 
Noma kweli pale shemeji yako anapotoka chumbani asubuhi na taulo tu, halafu mnyama kasimama dede. Inahitaji moyo,

Maana unajua dah, jamaa kaishampindua dada yangu huko vya kutosha *****.
Ndo maana sijawa na dada,maana ningehakikisha haolewi maana sio kwa wivu huu nilionao
 
From tandale to pentagon[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee kama mmepishana miaka miwili maana yake ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…