Masela tuliotoka mikoani ambao tunaishi kwa shemeji zetu Dar tukutane hapa

Masela tuliotoka mikoani ambao tunaishi kwa shemeji zetu Dar tukutane hapa

Maana yake ilikua bandika bandua, we boya hujui kutoa miaka
Bandika bandua kvp,halafu na we mzee miezi nane yote hyo mjini ulikuwa unafanya nn,ungeenda tu kwa dada ukalale sebuleni
 
kuna huu msemo unasema...

shemeji ni sehemu ya mke yani kila nikiufikiria huu msemo nawaonea imani sana wanaoishi kwa mashemeji

pata picha saa nane za usiku shemeji yako na dada ako wanagombana then dada ako anaamua kubeba mabegi anasepa sijui unakuwa katika hali gani hapo 😂😂😂
 
Wakuu,

Kupeana experience ni muhimu,

Kwa wale wote tuliokuja kuishi kwa shemeji zetu tupeane uzoefu.

Kwa mfano mimi binamu yangu (mtoto wa shangazi) nd'o kaolewa Dar,
Nami nimekuja kuwatembelea huku Dar nikae angalau kwa miezi 10.

Ingawa nalala sebuleni,
Na huwa naamka mapema ili kupisha zoezi la usafi na shughuli za asubuhi,
Nitajitahidi kukomaa tu,
Maana'ke kama zali nimemkuta ndugu wa kike wa huyo mme wa binamu amba'e anasoma chuo,

Huyo binti ni mzigo wa maana,
Yaani kajazia wezere la hatare,
na ameanza kunizoea na kunichekeachekea sana.

Hivyo namlia taiming aingie kwenye 18, ili nidufue 'bumunda' kabla sijarudi mkoa!!!

Karibuni tupeane uzoefu wakuu.
😅🤣🤣
 
Back
Top Bottom