Masela tuliotoka mikoani ambao tunaishi kwa shemeji zetu Dar tukutane hapa

Maana yake ilikua bandika bandua, we boya hujui kutoa miaka
Bandika bandua kvp,halafu na we mzee miezi nane yote hyo mjini ulikuwa unafanya nn,ungeenda tu kwa dada ukalale sebuleni
 
kuna huu msemo unasema...

shemeji ni sehemu ya mke yani kila nikiufikiria huu msemo nawaonea imani sana wanaoishi kwa mashemeji

pata picha saa nane za usiku shemeji yako na dada ako wanagombana then dada ako anaamua kubeba mabegi anasepa sijui unakuwa katika hali gani hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe na dada ako wote hilo jamaa limewaoa
 
Kabla hujamfumua bumunda hakikisha mnapima uzito kwanza! Vinginevyo ukichomeka tu pale kwenye kale kaeneo, basi kwisha habari yako!
jamaa unamatatizo.. kwahiyo DADA yako kaolewa na wewe umeolewa pia.. angalia ucje ukaombwa unyumba
 
πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…