Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Huyo madam wake ajitayarishe kukatika mbavu kwa kuchekaMsanii wa siki nyingi wa vichekesho aliyejipatia umaarufu katika kundi la vituko show kwa style yake ya kuigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello "Masele" ameaga ukapela baada ya kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa siku nyingi Specioza Malick katika kanisa Katoliki, Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es salaam.
![]()
![]()
![]()