Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Chibingwa

Member
Joined
Jan 17, 2008
Posts
49
Reaction score
7
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
 
Tunaomba asife ili ashuhudie mungu akiwapa haki waja wake
 
Amepata mshituko baada ya kumwaga mabilino na kutoka mikono tupu
 
Tunamuombea uhai, ile ubunge sio urithi tasavali. Awaachie walioshinda.
 
Monica Mbega naye hali yake kiafya si nzuri, helicopter inamuhamishia Dar
 
Apone haraka aisee, maana inabidi tumwonyeshe hata yeye anaweza kuwa sio raia km vipi'
Sasa bado mkweree, wapi ambulance Ikulu,
 
Tuendelee kumuomba mungu asikie kilio cha Watanzania wanaotaka ukombozi wa nchi yao, nawapongeza sana wanaodhibiti uchakachuaji wa kura, tuko pamoja, safari hii mpaka kieleweke enough is enough jamani looh!
 
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.

RIP(politically) Masha
 
Na ndio bado! Huyu jamaa kwa kipindi cha miaka mitano tu amejitahidi kuwashawishi wananyamagana wamchukie, na kafanikiwa, sasa anahaha nini! Wenje yuko juu sana!
Chadema oye!
 
Nilikuwa Mwanza wiki iliyopita na tathmini yangu ya juu juu ya kuongea na wananchi wa jiji la Mwanza ni kuwa jamaa alikuwa hakubaliki kabisa. Sasa habari kama hizi wala hazinishangazi...
 
mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
 
OOOH GET WELL SOON uone matokeo yako na usaini kuyakubali
 
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
 
Back
Top Bottom