Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
yuko Bugando! wamfuate huko huko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
Duh kweli siasa ni mchezo mchafu!!!
yuko Bugando! wamfuate huko huko!
habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na rau masha ni kwamba yuko hoi bugado hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji mwanza.
Asaini au asisaini, hawezi kubadili kitu kwenye matokeo. Mshindi ni mshindi tuu, na lazima atangazwe kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni.mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..