FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
Yuko sipitali, wampelekee akasaini huku huko....masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
Tuendelee kumuomba mungu asikie kilio cha Watanzania wanaotaka ukombozi wa nchi yao, nawapongeza sana wanaodhibiti uchakachuaji wa kura, tuko pamoja, safari hii mpaka kieleweke enough is enough jamani looh!
Hii inadhihirisha kuwa Mawaziri wa JK ni bomu.
Jamani asiyekubali kushindwa si mshindani..........................CCM yaelekea hawakusoma alama za wakati.....
habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na rau masha ni kwamba yuko hoi bugado hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji mwanza.
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.