Tetesi: Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nashauri mbowe aendelee bado anahitajika sana
 
Ni ukweli mtupu na ndo mwisho wa CHADEMA pale mtaa wa ufipa! KUBENEA atafungishwa virago, mnyika atatafuta uelekeo, Lema atarudi TLP, MSIGWA atarudi kwa mungu na Lissu atarudi kwenye kazi yake aliyokuwa akiifanya Arusha
Mwenye masikio na asikie.
 
Kijana...kwa reference ya nzuri mambo ya chadema yote huelezwa JF hata kabla ya miaka mitano...rejea ujio wa Lowassa.


2004 walisema jk atahamiaCdm mbona

hakuhamia?kuhania lowssa ndio reference ya mambo ya cdm ?ujio Wa sumaye je? Kingunge etc ulielezwa lini?
 
2004 walisema jk atahamiaCdm mbona

hakuhamia?kuhania lowssa ndio reference ya mambo ya cdm ?ujio Wa sumaye je? Kingunge etc ulielezwa lini?
kijana tulia,Masha ni mwanachadema kwani kosa yeye kuwa mwenyekiti?
 
kweli wewe mlevi....jenga hoja.
 


Wadadavuzi wengine kweli wanandoto ya mchana yenye ukaribu na ya Usiku kama mazoea yalivyo.
Njoo siku nyingine utueleze faida na hasara ya Masha kuwa Chairman kwa Upande wa Lumumba.
 
Wadadavuzi wengine kweli wanandoto ya mchana yenye ukaribu na ya Usiku kama mazoea yalivyo.
Njoo siku nyingine utueleze faida na hasara ya Masha kuwa Chairman kwa Upande wa Lumumba.
Kwanza hiyo signature yako futa...huko UK,Ujerumani nk wakuu wa vyama ndio wakuu wa serikali....Mbowe asiwaharibu.
 
Hahahahaa mkuu umetupa jiwe gizani.
 
Baada ya kuamriwa kurudisha Posho mlizojigawia kwa kisingizio cha maadhimisho ya kuzima Mwenge sasa umeamua kuja kivingine ili posho ijilipizie kwa Ramli yako hii.. Elewa mkubwa wenu wa sasa hana imani za kishirikina[emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Chadema ikifanya uchaguzi wa Mwenyekiti, ifanye na uchaguzi wa katibu. Mbowe ni jembe lkn Mashinji bado hajakuwa jembe la kusimamia chama kikongwe na kikubwa kama Chadema
 
Nani wa kumtoa mwenyekiti wa kudumu? Kwani masha naye ni mkwe wa yule bwana yule?? Labda anataka kufukuzwaaa
 
[QUOTkoakudadavuwa, post: 18017135, member: 353133"]kijana tulia,Masha ni mwanachadema kwani kosa yeye kuwa mwenyekiti?[/QUOTE]
Mkuu swala sio kosa ni je ana vigezo? Mim na amini hana lakini nachopinga ni kutabir mambo
Ya Cdm siamini kama ni kweli?
 
JF imevamiwa na wapiga ramli na watengeneza radi feki.Twambie serikali yenu ya viwanda hewa imekwama wapi?
Vp na ww ile nyumba ulionza kuijenga mwaka jana imekwama wap??[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
ccm bila wapiga ramli haiendi,wamewashika akili wajinga
 
Ukiendeleza jaramba usalama wa masha questionable
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…