Mashabiki na wanachama wa Simba masikio yasizidi kichwa, mnakwenda kucheza na Yanga na siyo Ihefu ya Angola

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Naona nyuzi za mashabiki wa Simba humu jukwaani zimekuwa nyingi, zikijimwambafai kuifunga Yanga Jumapili. Najua mashabiki wenu wanajiamini kupita kiasi baada ya kuwafunga Ihefu ya Angola na kuingia makundi na wanaona tayari kikosi chao ni bora kuliko cha Yanga baada Yanga kutolewa na Al Hilal.

Napenda kuwapa tu angalizo, Tembo anaweza kukonda lakini hawezi kulingana sisimizi hata siku moja. Yanga pamoja na kutolewa kwenye Klabu Bingwa na Al Hilal bado ni timu yenye kikosi bora kuliko timu yoyote ile hapa Tanzania.

Simba pamoja na kuingia makundi bado wana kikosi cha kawaida sana ukilinganisha na Yanga. Kwahiyo linapokuja suala la kukutana timu hizi mbili labda uwe umejitoa ufahamu. Kuanza kujimwambafai kwamba unakwenda kumfunga Yanga kwakuwa tu umeshinda mechi yako iliyopita, utakuwa unaingia choo cha kike na utakuwa unajitafutia msongo wa mawazo na presha zisizokuwa na maana.

Matokeo yake ni kuzimia uwanjani, kwakuwa umeweka matarajio makubwa kwenye jambo ambalo haliwezekani kirahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka mnaenda kucheza na Yanga bora na siyo De Agosto wala Bata Bullets, kuweni makini na furaha yenu maana inaanza kuvuka mipaka.
 
Mbumbumbu fc ndio kawaida Yao, ila kiuhalisia kwasasa hapa nchini hakuna timu hata Moja inayoweza kwenda kucheza na Yanga ikiwa na uhakika wa Asilimia 100 wa kupata matokeo.

Mimi Nashauri uongozi na wachezaji wa Yanga wawe makini na mechi hii, endapo Simba watapata ata sare kelele zitakua nyingi kupita kiasi.

Kinachotakiwa ni mwendelezo wa kawaida wa kumtandika kibonde wetu.
 
Hizo nyuzi za mashabiki wa Simba unaziona wewe peke yako? Mimi ninachojua mashabiki wa yanga ndy mnaanzisha nyuzi kila saa kujihami,mwamba msichukuliwe poa kisa mmetolewa na Al hilal club bingwa.

Alafu hiyo timu yako bora unayoisifia Ni hii ya kina mwamnyeto bakari nondo na shomari kibwana? Hii ya kina Joyce na mzee wa epl bigirimana? Mbona mna timu ya kawaida Sana,au umesahau mlitoa bahasha ndy mkapata draw na Azam fc? Chupuchupu mpigwe,mkaokolewa na mpira uliotoka nje.

Alafu hata nyie mnaiogopa Sana Simba ila mnajikaza kisabuni tu kwenye keyboards

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Naona nyuzi za mashabiki wa simba humu jukwaani zimekuwa nyingi zikijimwambafai kuifunga yanga jumapili, Najua mashabiki wenu wanajiamini kupita kiasi baada ya kuwafunga ihefu ya angola na kuingia makundi na wanaona tiyali kikosi chao ni bora kuliko cha Yanga baada yanga kutolewa na Al hilal.

Napenda kuwapa tu angalizo Tembo anaweza kukonda lakini awezi kulingana sisimizi ata siku moja, Yanga pamoja na kutolewa kwenye klabu bingwa na Al hilal bado ni timu yenye kikosi bora kuliko timu yoyote ile hapa Tanzania.

Simba pamoja na kuingia makundi bado wana kikosi cha kawaida sana ukilinganisha na yanga, kwahiyo linapokuja suala la kukutana timu hizi mbili labda uwe umejitoa ufahamu kuanza kujimwambafai kwamba unakwenda kumfunga na yanga kwakuwa tu umeshinda mechi yako iliyopita, utakuwa unaingia choo cha kike na utakuwa unajitafutia stress na presha zisizokuwa na maana.

Matokeo yake ni kuzimia uwanjani kwakuwa umeweka matarajio makubwa kwenye jambo ambalo aliwezekani kirahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka mnaenda kucheza na yanga bora na sio De Agosto wala bata bullets, kuweni makini na furaha yenu maana inaanza kuvuka mipaka
Huyu ameamua kurudisha akili zake sasa nyie wengine endeleeni kumalizia hata zile akili kiduchu mlizobakishiwa za kuvukia barabara
 
Naona nyuzi za mashabiki wa Simba humu jukwaani zimekuwa nyingi, zikijimwambafai kuifunga Yanga Jumapili. Najua mashabiki wenu wanajiamini kupita kiasi baada ya kuwafunga Ihefu ya Angola na kuingia makundi na wanaona tayari kikosi chao ni bora kuliko cha Yanga baada Yanga kutolewa na Al Hilal.

Napenda kuwapa tu angalizo, Tembo anaweza kukonda lakini hawezi kulingana sisimizi hata siku moja. Yanga pamoja na kutolewa kwenye Klabu Bingwa na Al Hilal bado ni timu yenye kikosi bora kuliko timu yoyote ile hapa Tanzania.

Simba pamoja na kuingia makundi bado wana kikosi cha kawaida sana ukilinganisha na Yanga. Kwahiyo linapokuja suala la kukutana timu hizi mbili labda uwe umejitoa ufahamu. Kuanza kujimwambafai kwamba unakwenda kumfunga Yanga kwakuwa tu umeshinda mechi yako iliyopita, utakuwa unaingia choo cha kike na utakuwa unajitafutia msongo wa mawazo na presha zisizokuwa na maana.

Matokeo yake ni kuzimia uwanjani, kwakuwa umeweka matarajio makubwa kwenye jambo ambalo haliwezekani kirahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka mnaenda kucheza na Yanga bora na siyo De Agosto wala Bata Bullets, kuweni makini na furaha yenu maana inaanza kuvuka mipaka.
Hiyo Ihefu ya Angola kwenye rank za CAF nani yupo juu? Simba ya 14,agosto 28,yanga 75,
Nani mbovu hapo?
 
Mbumbumbu fc ndio kawaida Yao, ila kiuhalisia kwasasa hapa nchini hakuna timua hata Moja inayoweza kwenda kucheza na Yanga ikiwa na uhakika wa Asilimia 100 wa kupata matokeo.

Mimi Nashauri uongozi na wachezaji wa Yanga wawe makini na mechi hii, endapo Simba watapata ata sare kelele zitakua nyingi kupita kiasi.

Kinachotakiwa ni mwendelezo wa kawaida wa kumtandika kibonde wetu.
[emoji23][emoji23]
Screenshot_20221014-184832.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme ukamaliza mkuu mnaweza kupangiwa de agosto wakawapiga nje ndani sijui utaweka wapi hyo Id yako au utakimbia jukwaa kwa mda
 
Kamuone dakitari asee mana una presha ya juu, msongo wa mawazo , hofu kuu pamoja na wasiwasi uliopitiliza.
 
Tarehe 23 mtazikwa hapo hapo. Naisubiria kwa hamu kuliko derby zote zilizowahi kuchezwa. Yan'ga mtakufa
 
Naona nyuzi za mashabiki wa Simba humu jukwaani zimekuwa nyingi, zikijimwambafai kuifunga Yanga Jumapili. Najua mashabiki wenu wanajiamini kupita kiasi baada ya kuwafunga Ihefu ya Angola na kuingia makundi na wanaona tayari kikosi chao ni bora kuliko cha Yanga baada Yanga kutolewa na Al Hilal.

Napenda kuwapa tu angalizo, Tembo anaweza kukonda lakini hawezi kulingana sisimizi hata siku moja. Yanga pamoja na kutolewa kwenye Klabu Bingwa na Al Hilal bado ni timu yenye kikosi bora kuliko timu yoyote ile hapa Tanzania.

Simba pamoja na kuingia makundi bado wana kikosi cha kawaida sana ukilinganisha na Yanga. Kwahiyo linapokuja suala la kukutana timu hizi mbili labda uwe umejitoa ufahamu. Kuanza kujimwambafai kwamba unakwenda kumfunga Yanga kwakuwa tu umeshinda mechi yako iliyopita, utakuwa unaingia choo cha kike na utakuwa unajitafutia msongo wa mawazo na presha zisizokuwa na maana.

Matokeo yake ni kuzimia uwanjani, kwakuwa umeweka matarajio makubwa kwenye jambo ambalo haliwezekani kirahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka mnaenda kucheza na Yanga bora na siyo De Agosto wala Bata Bullets, kuweni makini na furaha yenu maana inaanza kuvuka mipaka.
Futa hii
 
Hizo nyuzi za mashabiki wa Simba unaziona wewe peke yako? Mimi ninachojua mashabiki wa yanga ndy mnaanzisha nyuzi kila saa kujihami,mwamba msichukuliwe poa kisa mmetolewa na Al hilal club bingwa.

Alafu hiyo timu yako bora unayoisifia Ni hii ya kina mwamnyeto bakari nondo na shomari kibwana? Hii ya kina Joyce na mzee wa epl bigirimana? Mbona mna timu ya kawaida Sana,au umesahau mlitoa bahasha ndy mkapata draw na Azam fc? Chupuchupu mpigwe,mkaokolewa na mpira uliotoka nje.

Alafu hata nyie mnaiogopa Sana Simba ila mnajikaza kisabuni tu kwenye keyboards

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mlitumia hii mbinu ili walau mpate sare lakini kilichotokea yalikua maumivu. Nataka niambie mlipokea kiasi gani mkatuachia sisi? Pia huyu Inonga hakupewa mgao wake mpaka kumchezea mwenzake hivi?

Mbumbumbu mpimwe akiliView attachment 2390965
IMG_20220819_105647_989.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trh 23 wanaua kabisa yani zitaondoka jezi tuu kwa kipigo mtakachopata kutoka kwa mnyama
 
Back
Top Bottom