Hata umtukane baba ataendelea kuwa baba hana namnaJery muro tena? Nahama timu!
Acha uzembe wewe kwa hiyo kisa DC ndio baba?Hata umtukane baba ataendelea kuwa baba hana namna
Hujanielewa Muro aliwah kutoa maneno ya kejeri dhidi ya Yanga lakini jana kashangilia sana so yanga ni baba ataendelea kuwa baba hata umtukaneAcha uzembe wewe kwa hiyo kisa DC ndio baba?
Muro ni baba yako?Hata umtukane baba ataendelea kuwa baba hana namna
Kwa kweli wanaYanga was Arusha mmetukosha sana, tunaomba wanachama wenzetu was mikoa mingine tuige mfano wao, kuanzia Mapokezi, maandalizi mambo yooote yalikuwa POWa sana. Timu baada ya kumaliza game LA Jana kwa ushindi muhimu, tunaenda kucheza mechi ya Azam Federation na Tukuyu Stars hapa Dar Es Salaam Siku ya J3. Tafadhari sana Yanga wa DSM tujitokeze kwa wingi kuipa support timu yetu, maana na huo no mchezo muhimu sana, maana anayefungwa anatolewa kwenye mashindano husika. Pia baada ya mchezo, Time itasafiri kuelekea Mbeya kucheza na Mbeya City mchezo was TPL, wanaYanga Mbeya tunarudi tens, tunaomba support yenu kama ilivyokuwa kwa Tz Prison. Yanga Daima mbele, Nyuma mwiko.Muro ni baba yako?
Umehama dar sembuse timuJery muro tena? Nahama timu!
YANGA NI SHEDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAYangaaaaa...............
Wewe ni kaimu afisa habari wa yanga?Kwa kweli wanaYanga was Arusha mmetukosha sana, tunaomba wanachama wenzetu was mikoa mingine tuige mfano wao, kuanzia Mapokezi, maandalizi mambo yooote yalikuwa POWa sana. Timu baada ya kumaliza game LA Jana kwa ushindi muhimu, tunaenda kucheza mechi ya Azam Federation na Tukuyu Stars hapa Dar Es Salaam Siku ya J3. Tafadhari sana Yanga wa DSM tujitokeze kwa wingi kuipa support timu yetu, maana na huo no mchezo muhimu sana, maana anayefungwa anatolewa kwenye mashindano husika. Pia baada ya mchezo, Time itasafiri kuelekea Mbeya kucheza na Mbeya City mchezo was TPL, wanaYanga Mbeya tunarudi tens, tunaomba support yenu kama ilivyokuwa kwa Tz Prison. Yanga Daima mbele, Nyuma mwiko.
Hata mm nahamaJery muro tena? Nahama timu!
Fara uyooAcha uzembe wewe kwa hiyo kisa DC ndio baba?
Hamna lolote nyie.Kwa kweli wanaYanga was Arusha mmetukosha sana, tunaomba wanachama wenzetu was mikoa mingine tuige mfano wao, kuanzia Mapokezi, maandalizi mambo yooote yalikuwa POWa sana. Timu baada ya kumaliza game LA Jana kwa ushindi muhimu, tunaenda kucheza mechi ya Azam Federation na Tukuyu Stars hapa Dar Es Salaam Siku ya J3. Tafadhari sana Yanga wa DSM tujitokeze kwa wingi kuipa support timu yetu, maana na huo no mchezo muhimu sana, maana anayefungwa anatolewa kwenye mashindano husika. Pia baada ya mchezo, Time itasafiri kuelekea Mbeya kucheza na Mbeya City mchezo was TPL, wanaYanga Mbeya tunarudi tens, tunaomba support yenu kama ilivyokuwa kwa Tz Prison. Yanga Daima mbele, Nyuma mwiko.
Mkuu mtapata tabu sanaHamna lolote nyie.