Jana niliona mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi wakishangilia kwa nguvu na nilipenda pia kitendo chao cha uzalendo kwa kuchanga pesa kwa ajili ya viongoz na wachezaji. Mbeya pia nawapongeza. Jerry Muro anasema ukiwaka mulika ukizima papasa wanayanga tuige mfano huu mzuri yanga Daima mbele nyuma mwiko Yanga hoyeeeeeeeeeeeeee upande wa Mnyama watapata tabu sana.