Mashabiki na wanachama waYanga Arusha ninawapongeza mikoa mingine tuige mfano

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Jana niliona mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi wakishangilia kwa nguvu na nilipenda pia kitendo chao cha uzalendo kwa kuchanga pesa kwa ajili ya viongoz na wachezaji. Mbeya pia nawapongeza. Jerry Muro anasema ukiwaka mulika ukizima papasa wanayanga tuige mfano huu mzuri yanga Daima mbele nyuma mwiko Yanga hoyeeeeeeeeeeeeee upande wa Mnyama watapata tabu sana.
 
Muro ni baba yako?
Kwa kweli wanaYanga was Arusha mmetukosha sana, tunaomba wanachama wenzetu was mikoa mingine tuige mfano wao, kuanzia Mapokezi, maandalizi mambo yooote yalikuwa POWa sana. Timu baada ya kumaliza game LA Jana kwa ushindi muhimu, tunaenda kucheza mechi ya Azam Federation na Tukuyu Stars hapa Dar Es Salaam Siku ya J3. Tafadhari sana Yanga wa DSM tujitokeze kwa wingi kuipa support timu yetu, maana na huo no mchezo muhimu sana, maana anayefungwa anatolewa kwenye mashindano husika. Pia baada ya mchezo, Time itasafiri kuelekea Mbeya kucheza na Mbeya City mchezo was TPL, wanaYanga Mbeya tunarudi tens, tunaomba support yenu kama ilivyokuwa kwa Tz Prison. Yanga Daima mbele, Nyuma mwiko.
 
Wewe ni kaimu afisa habari wa yanga?
 
Hamna lolote nyie.
 
Back
Top Bottom