Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
CCM Ni Bahari.....
Unapotujumuisha WOTE katika JUMU moja Hututendei Haki.....
Ni Kweli MATUSI Hayana Nafasi Katika Ulimwengu wa HOJA na umenikumbusha baba wa Taifa alipoandika Kijitabu TUJISAHIHISHE.....
Ndani Mwa Kile Kitabu Kuna Mengi Mazuri Ya Kujifunza.
Nionacho Ni Kuwa Wako WanaCCM wengi Walioanza Kuchoka na Kukata Tamaa KWA kule KUKITHIRI RUSHWA PAPA,ukosefu wa maadili,uwajibikaji BUTU na UPOGO katika Utumishi Wa Umma lakini Hali imekuwa tofauti na Sasa....Magufuli Is a saviour of us from the rotten status quo deepened in our beloved nation....
Magufuli amekuwa MWAMUZI wa kuwazindua wanaCCM na Watanzania kwa kuwafanya kuwa WAZALENDO ZAIDI kuliko kipindi kingine ukitoa kile Cha mwanzomwanzo wa Uongozi wa Baba Wa Taifa.....
Huu Uzalendo Aliouamsha Rais Magufuli Ndio Huo Unaowapagawisha wengine KUTUKANA na kuwaona wakosoaji wa Magufuli Kama MAADUI wa kuturudisha kule kubaya TUTOKAKO.....
Kila MZALENDO wa Kweli hataki kuona Tunarejea kule kwa HOVYO....
Post Yako Iwape Zinduo la kujua kuwa Mh.Magufuli kwa kipawa chake PEKEE na Ululu Wake Ana Dhima Kuu Ya Kuijenga Taasisi IMARA ya kiuongozi na Kiutawala kwa kuzidi kuiboresha ndani ya miaka yake 5 ijayo....
Mh.Magufuli ni YEYE pekee aliyeiwini Mioyo ya Vijana WaCCM wenye kutambua vyema tuliko na huko tunakotaka KWENDA.
Nikiwa Kama kijana,simuoni mwengine mwenye KALIBA aliyonayo Magufuli basi Shime kwa wanaomsaidia mheshimiwa Mwenyekiti Wamueleze kuwa tunatambua nia yake NJEMA juu ya Taifa na chama chetu,lakini hebu aongeze UBORA ili kukiachia CHAMA LEGACY kuu ya KITAASISI na isiwe akiondoka yeye Tunarejea kule nisikotaka na wasikotaka Vijana kurejea.
Baba Wa Taifa alinadi" nang'atuka,na bila CCM imara,nchi yetu itayumba".
CCM Bora zaidi ndiyo nguzo ya HISTORIA YA TAIFA LETU PENDWA.
Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluta Continua.
Kijana Muuza Al Kasus,
Jumbe Brown,
Uswahilini Tandale Kwa Mtogole.