Mashabiki na wanachama wengi wa Chama cha Mapinduzi hawajui kujenga hoja, wamebaki tu kutukana Watu

 
 


Yaani wanaweza kukaa na wasanii wa bongo flava kuongea siku nzima lakini ukiwaambia mdahalo wa masaa mawili wanaogopa. Cha kushangaza kuna watu wana watetea
 
Hamna nguvu ya umma inyoweza kutoa ridhaa ya kushika dola kwa mjasiriamali anayependa midaharo
 
nawaongea kwenye kampeni mje na juu ujimga wenu matajuta
 

Wenzio wanapiga wagombea wa vyama vya upinzani huko kwa Waziri Mkuu wewe unasema wanakuwa kujenga hoja sijui maendeleo yakaenda yakarudi. Mbona awamu zilizotangulia kulikuwa hakuna hizi mbinu za kutafuta Ushindi wa mezani kama kuna maendeleo yamefanyika kwanini nguvu kubwa sana kuzuia wapinzani.
 
Ni kweli ni ccm ndio imetufikisha hapo kwani hakuna chama cho hote cha kukiangushia lawama kea kuwa ni wao ccm wametawala toka uhuru mpaka sasa sioni cha kujivunia zaidi ya ngao ya bibi na bwana,ambayo hakuna sehemu nyingine wanayo nhao kama hiyo ya binaadamu,kwenye maendeleo mengine ni chechw tupu,
 
Kama huoni cha kujivunia nakuomba jivunie hiyo amani uliyo nayo mpaka unaweza kucharaza maandishi jf, maana hiyo amani pia imeletwa na chama tawala CCM

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli hayo ni maneno yenu ya kila siku mkidai mnaonewa ilimladi tu mpate kiki poleni sana aiseh maana mmeshikwa pabaya sana

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Naalie toa hoja tetemeko sikuleta mimi?
 
Kati ya makosa makubwa CCM watajilaumu kumuacha akazuia Shughuli za Vyama vya siasa na kudhulumu uchaguzi wa Serikali za mitaaa mwaka jana ndio matokeo yake tunayaona leo
WANANCHI KOTE NCHINI BARA NA VISIWANI WAMEKUA NA SHAUKU KUBWA SANA YA KUWASIKILIZA WAPINZANI KINYUME KABISA NA MAWAZO KUWA WANGEKATA TAMAA

Kiukweli kupitia hili ccm wajifunze ;ingekua wapinzani wanapata muda wa kusema miaka mitaano hii bila kunyanyaswa leo hawangekua na la kuwaambia watu

Binadamu huna jipya la kuwafanyia au kuwapa ; WAPE KILA KITU ILA USIWANYIME MDOMO KUSEMA NA MASIKIO KUSIKIA ......Dola na Vyama vyenye Nguvu duniani zilifanya Maendeleo makubwa Lakini zilianguka kwa sababu tu waliziba watu midomo ...

Leo CCM haipo kwa watu kabisa zaidi ya kwenye Dola tena kwenye dola sio wote bali wale wenye mamlaka

Wanamikakati wa CCM wamempotosha Sana Mwenyekiti

Mwaka Huu ni maeneo machache Sana ccm inaweza kushinda kihalali Hii ni tofauti kabisa na miaka mitano nyuma Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa

SEKRETARIET ya CCM imeuwa Chama kwenye mioyo ya watu !!!!!

Baada ya uchaguzi Huu lazima mabadiliko makubwa yafanyike kwenye sekretariet ya CCM ile ya kina Kinana na Nape was far better kwakua ilikua na approach ya kutumia siasa zaidi kuliko kutegemea kubebwa na Dola nzima .
 
Ww ni aina moja wapo ya watu waliozungumziwa kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…