Mashabiki Simba mtacheza ngoma za Yanga hadi muite maji mma

Mashabiki Simba mtacheza ngoma za Yanga hadi muite maji mma

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
  • Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki
  • Tukarudi kwa Kisinda
  • Tukaenda kwa Feisal
  • Tukarudi CAF na mvua
  • Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF
  • Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake
  • Tukahamia kwenye medali za CAF
  • Tukarudi kwenye kiatu NBC PL
  • Sasa tupo kwenye Bingwa wa AFC, na Simba kucheza CAFCC msimu ujao.

NB: Mna takribani miaka 10 ya kucheza ngoma ya Mabingwa Yanga, hivyo kazeni vibwebwe.
 
Hizi clubs zetu za soka inawezekana tagizo ilikuwa ni mfumo wa utawala mbona kama mambo yako poa now
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Back
Top Bottom