Mna timu nzuri ila mna safu butu ya ushambuliaji, mzimu wa Mayele utawaandama sana. Ongeeni vizuri na sisi tuwape hata Boko.Binafsi nimeridhishwa sana na aina ya mpira unaocheza timu ya Yanga, controll ya mpira+ utulivu na kasi. Nimeona timu ikianza kufanya build up kwanzia nyuma na wanafika hadi mwisho. Mpira unachezwa haswa naiona Yanga ikiwa ni timu pamoja na kuondoka kwa Nabi. Tukiweza kutatua changamoto moja tu ya finishing basi hakuna wa kuizuia Yanga kutetea kombe la ligi kuu na Azam Federation.
Mashabiki wenzangu poleni lakini tutoe sapoti kwa wachezaji na benchi la ufundi tusimame pamoja tuna timu bora
Penati changamoto ya PenatiTukiweza kutatua changamoto moja tu ya
Tumeyapokea matokeo japo kishingo upande, tumeacha inyeshe tujue panapovuja.Uzuri mashabiki na wanachama wa hyo timu unayoisema ni waelewa sana hata wanapopoteza game sio warahisi kuanza kupiga makelele mitandaoni, kulaumu viongozi wala kuwashambulia wachezaji wao
Cc
Tate Mkuu
Bantu Lady
Hakuna shabiki wa Yanga aliyeangalia mpira leo akasononeka. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Yanga hawakubebwa na matokeo ila performance imekuwa juu mno. Unatazama mpira una enjoy mpira unaochezeka.Tuanze kwa kuwapa sapoti mashabiki kwanza
Hawa tusiwasahau maana ndio wanaopitia msoto wa presha kuliko hata wachezaji.
Mi niliwaambia chakula cha jioni wale mapema wapo walionielewa na wapo walionipuuza.
Kesho ufanisi wa kazi maofisini unategemea kushuka kutokana na watu kuwa na mambo mengi kichwani.
By the way tunashukuru kwa ushindani mliotupa ila siku zote mpira unamuheshimu fundi hata ukosee vipi lazima tu matokeo ya mwisho lazima yawe mazuri upande wako.
Sisi tuna tatizo moja tu la umaliziaji?:vipi timu yako mliyokuwa mnajisifia kuwa mmeiba namba sita lakini leo kaja na kafichwa na Mkude, vipi mna matatizo yapi? Game mbili goal 0 halafu mmekuwa timu ya kupelekewa moto haswa muda wote roho juu, vipi nyie mmekamilika?Mna timu nzuri ila mna safu butu ya ushambuliaji, mzimu wa Mayele utawaandama sana. Ongeeni vizuri na sisi tuwape hata Boko.
Mkuu sisi tupo nje ya uwanja lakini ukiwa ndani ya uwanja unakuwa na fikra nyingi sana. Huenda mchezaji akaenda akiwa na lengo la kubadilisha upande lakini nafsi yake ikasita ikamwambia hapana piga upande huo maana saivi lazima ataruka upande mwingine kwasababu wachezaji wameshamsoma.Wale wachezaji waliopiga penati na kukosa ni wapumbavu, haiwezekani wote wapige upande mmoja na kimo kilekile.
Waambiwe tu ukweli wamezingua sana.
Performance ilikiwa kubwa lakini wameshindwa kutumia nafasi hiyo kufunga mabao.Hakuna shabiki wa Yanga aliyeangalia mpira leo akasononeka. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Yanga hawakubebwa na matokeo ila performance imekuwa juu mno. Unatazama mpira una enjoy mpira unaochezeka.