Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa napokaa hata shabiki mmoja wa Simba alikuwa anakiri tunacheza vizuri, ila nikamwambia tatizo la soka ni kuwa, mpira ni magoli na ndio kilichotokea, lakini alikiri Yanga inacheza vizuri kuliko Simba wakati mechi inaendelea kabla hata penati hazijaanza.Hakuna shabiki wa Yanga aliyeangalia mpira leo akasononeka. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Yanga hawakubebwa na matokeo ila performance imekuwa juu mno. Unatazama mpira una enjoy mpira unaochezeka.
Kikosi Kiko poa Sana na kocha nizuri zaidi ya Nabi. Tunahitaji straika mwenye uwezo..... Timu iko vizuri Sana.
Unalazimusha wewe kuonekana kama kuna masononeko ila sisi mashabiki wa Yanga leo tume enjoy burudani.. Kutotumia nafasi kwa leo ni sehemu ya makosa yaliyotugharimu kufika penati, lakini benchi la ufundi linalo nafasi ya kulirekebisha. Game tatu tumecheza kubwa na leo ndio mechi ya kwanza kutoa sare. Hivyo kocha atajua ni wapi pa kuweka sawaPerformance ilikiwa kubwa lakini wameshindwa kutumia nafasi hiyo kufunga mabao.
Hoyo ndio sehemu ambayo inamlazimu shabiki wa Yanga asononeke.
Kucheza vizuri zaidi ya mpinzani halafu ukashindwa kunufaika na ubora wako inakuwa haina tofauti na mwanaume mwenye maumbile makubwa halafu hasimamishi.
Yeah but sio wakutegemea... Mechi ya Leo Kama kungekuwq na straika wa maana Wala tusingefika kwenye penati.Musonda anahitaji training ya kulenga goli, Leo mpira ulijaa akafumua shuti Kali , Huyu atatusaidia pakubwa sana
Mkude kamficha vipi Ngoma, umeangalia mpira upi? Kwanza Mkude kagusa mpira mara ngapi?Sisi tuna tatizo moja tu la umaliziaji?:vipi timu yako mliyokuwa mnajisifia kuwa mmeiba namba sita lakini leo kaja na kafichwa na Mkude, vipi mna matatizo yapi? Game mbili goal 0 halafu mmekuwa timu ya kupelekewa moto haswa muda wote roho juu, vipi nyie mmekamilika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee kunywa maji mengii na u relaaaaaxxxxxxYanga hamna wapigaji mkuu.
Ila hata kabla ya zile 90 kuisha tungefungwa bado kosi tumeliona.
Binafsi nimeridhika nalo aisee.
Pale mbele yule dogo mzize ndoa inampeleka puta hamna kazi anafanya.
Kosi tunalo aisee, wameshinda ila wanaogopa, pale timu hamna.
Wakati kocha wako anajitafuta kutekebisha finishing atakuta tayari Simba imepata muunganiko.Unalazimusha wewe kuonekana kama kuna masononeko ila sisi mashabiki wa Yanga leo tume enjoy burudani.. Kutotumia nafasi kwa leo ni sehemu ya makosa yaliyotugharimu kufika penati, lakini benchi la ufundi linalo nafasi ya kulirekebisha. Game tatu tumecheza kubwa na leo ndio mechi ya kwanza kutoa sare. Hivyo kocha atajua ni wapi pa kuweka sawa
Makocha huwa wanapoanza kuinoa timu kwanza kuanza kwa kutengeneza ukuta kwa maana wasiweze kuruhusu magoli, pili ni namna ya kutengeneza mashambulizi kisha mwisho ni mifumo mizuri ya kupata magoli.
Kocha yupo hatua ya mwisho hivyo huku kwenye kiungo, beki na utengenezaji mashumbulizi kamaliza kabakiza tu kwenye namna ya kufanya nafasi zinakuwa converted kuwa magoli. Muda bado anao
Uzuri unakiri tuliwazidi.Wakati kocha wako anajitafuta kutekebisha finishing atakuta tayari Simba imepata muunganiko.
Atapigwa tena halafu awe na kazi nyingine ya kwenda kufanyia kazi madhaifu ya siku hiyo ili ajirekebishe.
Ndo itavyokuwa kama umeshindwa kushinda mechi ya leo ambayo kila kitu kilikuwa upande wenu.
Haka kama yanga ni mbovu ila Simba ni zaidi , Kwa Lile pira la uturuki walilopiga Simba , aisee hakuna kituAcheni kujipa moyo kwa porojo zenu za ovyo. Yanga hamna timu, mwaka huu ni wabovu.
Mlituzidi ila mlitumia vipi advantage hiyo kuhakikisha mnachukua ngao?Uzuri unakiri tuliwazidi.
Msonda duu naye hajatulia anajitahidi sana kupiga puu ambazo ni off target japo kocha anampenda sana ila anashindwa ku deriverYanga hamna wapigaji mkuu.
Ila hata kabla ya zile 90 kuisha tungefungwa bado kosi tumeliona.
Binafsi nimeridhika nalo aisee.
Pale mbele yule dogo mzize ndoa inampeleka puta hamna kazi anafanya.
Kosi tunalo aisee, wameshinda ila wanaogopa, pale timu hamna.
Acheni kujipa moyo kwa porojo zenu za ovyo. Yanga hamna timu, mwaka huu ni wabovu.
Umeandika kila ambacho unatamani kiwe kwa upande wako ila ulichoandika hukuwaza kiuwanamichezo. Kwanini hukuwaza kuwa yeye ataweza kutatua kabla ya nyie kupata muunganiki? Halafu ishu ipo very complicated maana mpaka sasa hamjui mna matatizo yanayotokana na nini. Wengine wanalaumu kocha wengine mfumo wengine wachezaji. Labda wewe unaona shida kwenu ni kipi?Wakati kocha wako anajitafuta kutekebisha finishing atakuta tayari Simba imepata muunganiko.
Atapigwa tena halafu awe na kazi nyingine ya kwenda kufanyia kazi madhaifu ya siku hiyo ili ajirekebishe.
Ndo itavyokuwa kama umeshindwa kushinda mechi ya leo ambayo kila kitu kilikuwa upande wenu.
Sio mbaya sana akitokea pembeni (anakopenda kucheza).Msonda duu naye hajatulia anajitahidi sana kupiga puu ambazo ni off target japo kocha anampenda sana ila anashindwa ku deriver
pembeni kulia sawa lakini siyo ktktSio mbaya sana akitokea pembeni (anakopenda kucheza).
Sio rahisi tukutane mara ya pili tukiwa bado tunacheza kwa aina hii ya mpira.Umeandika kila ambacho unatamani kiwe kwa upande wako ila ulichoandika hukuwaza kiuwanamichezo. Kwanini hukuwaza kuwa yeye ataweza kutatua kabla ya nyie kupata muunganiki? Halafu ishu ipo very complicated maana mpaka sasa hamjui mna matatizo yanayotokana na nini. Wengine wanalaumu kocha wengine mfumo wengine wachezaji. Labda wewe unaona shida kwenu ni kipi?