Mashabiki tuwasapoti wachezaji wetu pamoja na viongozi na benchi la ufundi pamoja na matokeo ya leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee kunywa maji mengii na u relaaaaaxxxxxx
Hiyo ni reply ya kiuchambuzi bibie sio ya maumivu.
Binafsi matokeo ya leo hayajaniumiza mkuu timu tunayo.
 
Sio rahisi tukutane mara ya pili tukiwa bado tunacheza kwa aina hii ya mpira.

Kuna kipindi kirefu sana hapa katikati kabla hatujaonana. Na hivyo ishu yetu ya kupata muunganiko sio complicated kama ambavyo wewe unasema.

Mfumo mbovu ndio unaoenda kumuathiri mchezaji aonekane amecheza under performance.
Kwahiyo huyu kocha atakuja mfumo mwingine au mnamtimua?
 
Kutimua kocha kunakuwaga na risk sana naiona management ikimpa nafasi ya kuamua hatma ya kibarua chake
Kocha Robertinho atimuliwe Sasa, mnasubiri hadi Yanga iongoze ligi tofauti ya points kumi? Hatupendi makelele huko mbele fanyeni maamuzi magumu si mmeona Kwa macho yenu timu hamna! Simba inacheza kama ndondo cup!

Ligi inaanza timu ya Simba Haina fomesheni Wala possession, na usijidanganye kuwa itabidilika pale ndio uwezo wa Robertinho ulipoishua, Yani dkk moja tu Simba hawawezi kukaa na mpira, sio derby tu hata walipocheza na Singapore Big Stars ulimi nje!

Beki na midfielders wa Simba Kila mmoja anacheza kivyake timu nzima wanakimbia kimbia na kukaba tu, hadi Mkude kaonekana Bado ni Gold!!Kila mchezaji anacheza kivyake timu nzima, hujui mpira Unatoka Kwa nani unaenda Kwa nani ni kujipigia pigia tu aibu sana!

Kibu D anakimbia kimbia na kukukuruka tu kama chizi yuko alone, akijaribu juhudi binafsi aifunge Yanga asifiwe, ila Beki line ya Yanga Kali usipime!

ukweli Simba wameingia mtumbi wa vibwengo , Kwa Robertinho kocha hamna! Huu ni ukweli mchungu, nadhani Kuna fitna Yanga wamefanya kuingilia mchakato wa kocha Simba ili Simba iendelee kuwa mbovu mno kama Jana roho mkononi dkk 90 ni Yanga tu wameshindwa wenyewe no Mayele Jana angekuwepo Simba wangekufa hata nne bila!
 
Ahsante sana mleta uzi ni ngumu lakini nimeshapoa aisee. 🙏

Kwa kikosi tulichonacho sasa tutegemee makubwa sana kwa msimu huu. Kikubwa tuwe na imani na Kocha pamoja na benchi la ufundi.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Naamini tutapata magoli tu kwa jinsi nilivyomuona Hafiz ana kitu hawezi kua bora Kama Mayele lakin na hakika tutapata magoli mengi kupitia yeye ni swala la muda mchache sana.
 
Kwa wachezaji wapya wa kigeni kule mbele sijaona ni yupi ni mchezaji wa ovyo. Zou zou kaingia kwa dakika alizocheza hakuna shaka ni mchezaji mzuri pia. Hafiz, anatakiwa aanze kabla ya Mzize.

Msimu uliopita, hakuna mchezaji aliyekuwa anawauzi mashabiki wa Yanga kama Aziz Ki. Lakini Aziz Ki huyu wa sasa aisee kabadilika mno ametulia na hata akiamua kufanya jambo analifanya kwa usahihi kiasi.
 
Ni kweli kwasasa aanze Hafizi ana kitu ball control yake ni nzuri atatusaidia.
 
Kocha Robertinho atimuliwe Sasa, mnasubiri hadi Yanga iongoze ligi tofauti ya points kumi? Hatupendi makelele huko mbele fanyeni maamuzi magumu si mmeona Kwa macho yenu timu hamna! Simba inacheza kama ndondo cup!

Ligi inaanza timu ya Simba Haina fomesheni Wala possession, na usijidanganye kuwa itabidilika pale ndio uwezo wa Robertinho ulipoishua, Yani dkk moja tu Simba hawawezi kukaa na mpira, sio derby tu hata walipocheza na Singapore Big Stars ulimi nje!

Beki na midfielders wa Simba Kila mmoja anacheza kivyake timu nzima wanakimbia kimbia na kukaba tu, hadi Mkude kaonekana Bado ni Gold!!Kila mchezaji anacheza kivyake timu nzima, hujui mpira Unatoka Kwa nani unaenda Kwa nani ni kujipigia pigia tu aibu sana!

Kibu D anakimbia kimbia na kukukuruka tu kama chizi yuko alone, akijaribu juhudi binafsi aifunge Yanga asifiwe, ila Beki line ya Yanga Kali usipime!

ukweli Simba wameingia mtumbi wa vibwengo , Kwa Robertinho kocha hamna! Huu ni ukweli mchungu, nadhani Kuna fitna Yanga wamefanya kuingilia mchakato wa kocha Simba ili Simba iendelee kuwa mbovu mno kama Jana roho mkononi dkk 90 ni Yanga tu wameshindwa wenyewe no Mayele Jana angekuwepo Simba wangekufa hata nne bila!
Maoni ya loser hatuwezi kuyazingatia
 
Binafsi nimeridhishwa sana na aina ya mpira unaocheza timu ya Yanga, controll ya mpira+ utulivu na kasi. Nimeona timu ikianza kufanya build up kwanzia nyuma na wanafika hadi mwisho. Mpira unachezwa haswa naiona Yanga ikiwa ni timu pamoja na kuondoka kwa Nabi, lakini soka linalotandazwa ni zaidi ya ile Yanga iliyoachwa na Nabi. Tukiweza kutatua changamoto moja tu ya finishing basi hakuna wa kuizuia Yanga kutetea kombe la ligi kuu na Azam Federation.

Mashabiki wenzangu poleni lakini tutoe sapoti kwa wachezaji na benchi la ufundi tusimame pamoja tuna timu bora
naunga mkono hoja
 
Uzuri mashabiki na wanachama wa hyo timu unayoisema ni waelewa sana hata wanapopoteza game sio warahisi kuanza kupiga makelele mitandaoni, kulaumu viongozi wala kuwashambulia wachezaji wao

Cc
Tate Mkuu
Bantu Lady
Hakika. Mashabiki bado tuna imani kubwa na timu yetu. Bado kuna kasoro chache tu kwenye umaliziaji.

All in all, penati hazina mwenyewe.
 
Wale wachezaji waliopiga penati na kukosa ni wapumbavu, haiwezekani wote wapige upande mmoja na kimo kilekile.

Waambiwe tu ukweli wamezingua sana.
Mimi nilichogundua kocha hakuwaandaa wachezaji wake kwa hatua ya penati. Na huenda aliamini kuumaliza mchezo nfani ya dakika 90! Jambo ambalo halikuwa sahihi.

All in all, penati pia hazina mwenyewe. Hivyo hakuna sababu ya kumtafuta mchawi.
 
Nashauri milingoti ya goli iondolewe ili timu inayochezea mpira bila malengo itangazwe mshindi.Shot on target moja mechi nzima halafu eti wameridhika na performance.Simba jana walikuwa na siku mbaya ofisini na bado mkashindwa kuwafunga. Mpo kwenye sonona na dalili ya kwanza ya sonona ni denial.Ku deny kwamba una tatizo. Kurudia kosa mara 3 na kutegemea matokeo tofauti ni ukichaa. Penalti zote walizopiga Yanga zilifanana kwa kupiga upande mmoja. Pamoja na kumsifia Ali Salum lakini wapigaji walikuwa wabovu sana.Mechi huamuliwa kwa mbinu tofauti.Mechi ya ligi sio sawa na mechi ya mtoano au fainali. The end justifies the means.Mourinho alikuwa bingwa sana wa kukochi mechi za kutafuta bingwa.
 
Mkuu wewe una shot on target ngap? Sio kwa mech moja naomba kwa izo mech mbili ulio cheza tuanze na ya singida na hii ya jana
 
Nashauri milingoti ya goli iondolewe ili timu inayochezea mpira bila malengo itangazwe mshindi.Shot on target moja mechi nzima halafu eti wameridhika na performance.Simba jana walikuwa na siku mbaya ofisini na bado mkashindwa kuwafunga. Mpo kwenye sonona na dalili ya kwanza ya sonona ni denial.Ku deny kwamba una tatizo. Kurudia kosa mara 3 na kutegemea matokeo tofauti ni ukichaa. Penalti zote walizopiga Yanga zilifanana kwa kupiga upande mmoja. Pamoja na kumsifia Ali Salum lakini wapigaji walikuwa wabovu sana.Mechi huamuliwa kwa mbinu tofauti.Mechi ya ligi sio sawa na mechi ya mtoano au fainali. The end justifies the means.Mourinho alikuwa bingwa sana wa kukochi mechi za kutafuta bingwa.
Hiyo ni ngao hisani, kila timu itajitathmini kuelekea mechi za ligi kuu. Yanga mechi mbili imecheza tena ni big match na imeshinda moja na kutoa sare moja. Simba mechi mbili lakini magoli hakuna. Ligi haina penati ni mwendo wa kukusanya point. Sisi tumeridhika na kiwango na ubora wa timu usitulazimishe kutaka unavyotaka wewe. Kuna chances zimetengenezwa, kuna magoli yamekataliwa na pia kuna mengine kipa kaokoa. Hivyo kocha kabakiza kazi ndogo tu ya kutumia nafasi. Wewe sherekea ngao yako ya jamii.
 
Sheherekeeni medali za "fedha"kama kawaida.Eti tunawalazimisha wakati nyie ndio mabingwa wa kujua kama tuna raha au hapana. Na hicho kipimo mnacho nyie.Ngao ya jamii is history.Bingwa kapatika kama hamjaridhika kateni rufaa.
 
Jana[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji173]
20230814_100345.jpg
FB_IMG_1691990792292.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni reply ya kiuchambuzi bibie sio ya maumivu.
Binafsi matokeo ya leo hayajaniumiza mkuu timu tunayo.
Poleeee kwa kutesekaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngao ishabebwaaa hivyooo, jipange had wakati ujao.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom