Mashabiki wa Alikiba wamvaa Seven Mosha, wasema wamechoshwa na hujuma zake dhidi ya King

Kiba hufikiri mashabiki wake ndio wanatakiwa kuimba halafu yeye awasikilize...
Ingawa wasanii wetu wengine hudhani shule sio issue as far as ana kipaji, kwa huyu msanii unaona wazi gap iliyopo kwake kutokana na kukosa ilimu dunia ya kumstaarabisha!
 
..Yule Dingi(kiba) hana kiu ya mafanikio,anaridhika wakati wasanii wenzie ukitoa diamond wanapiga kazi kila kukicha amebakiza kupiga selfie tu..tena huu mwaka ndio angejitutumua sidhani kama atakuwa mshindani halisi wa diamond 2017....atabaki hivyo hivyo!atakuwa kama Defao au Mzee Nice mkenda
 
shauri yake umri unaenda maiha hayasimami kama hatajiongeza anabahati mbaya
 
hahahaha hii comment imenichekesha sana eti Defao...
 
Ingawa wasanii wetu wengine hudhani shule sio issue as far as ana kipaji, kwa huyu msanii unaona wazi gap iliyopo kwake kutokana na kukosa ilimu dunia ya kumstaarabisha!
Kinachonishangaza ni Kwamba mbona Lady jayeed mambo yake hayana shida na mziki wake unakwenda vizuri tuu?
 
Seven Mosha ndiye amemfanya Ali kiba kuendelea kiasi tofauti NA miaka ya nyuma

Kabla ya Mosha kumsimamia hakuwa hata NA video nzuri wala nominations kubwa za kimataifa...he was just someone with a big name for nothing lakini watoto wa insta hawaelewi ni nini maana ya management hivyo, kuwaelewesha ni kazi bure

Ninachokiona ni kumpambanisha kiba NA diamond..... Mashabiki wanapaswa watambue tu kuwa diamond yupo alipo kutokana na kiu yake ya mafanikio lakini kiba yupo alipo kwa kusindikizwa Sana yaani haikuwa kiu yake ......

Muda mwingine huwa nawaza hivi ni lini kiba aliwahi kuwa king wa muziki wa Tanzania maana hata ukipigia tuzo zake za kabla ya kurudi utaona dhahiri kuwa hili beef limewekwa ili soko litekwe kirahisi NA halipo kiuhalisia .....
 
Msanii kuchelewa kwny show haihusiani chochote na meneja labda km hiyo show aliambiwa masaa mawili kabla

Alikiba hajui km muziki ndio kazi yake kama watu wengine wanavyoamka asbh na kwenda ofisini.
 
shauri yake umri unaenda maiha hayasimami kama hatajiongeza anabahati mbaya
Dada unamuona Defao?Ferouz?Mr Nice?......na wengine wengi...!ukiona tu ameanza kujihami kwa kujiita legend ujue tayari......Sipendelei na bila ubishi diamond ana vision sana....akiishiwa hata mashairi atajihami kuwa hata manager wa vijana wake...yeye anatengeneza nini saiv zaidi ya kuzua maneno maneno kutwa kucha kwenye mitandao.mara kazimiwa mic,mara cjui kafanyaje..yaani upuuzi tu..kiba badilika,kipaji unacho kubali kuna watu wamekuzidi mafanikio kimziki...basi pita wanapopita....Diamond amepita alipopita Davido leo huyo hapo...na wewe pita anapopita Diamond..wala usisikie aibu Kila kitu kina gharama zake.kujishusha ndo gharama ya mafanikio yake
 
kabisa mkuu akiweza kujishusha atafika mbali
 
Mimi ni Mtanzania na ninapenda kuona wasanii wetu wakipanda na kujulikana kinataifa maana wanaitangaza Tanzania.
Lakini huyu Alli kiukweli anatembelea
Kick kupitia Diamond
Hana ubunifu
Hana kujituma
Yupoyupo tu
Yeye kubebwa na mashabiki tu!!!
 

Tabia ni ngozi sijui kama ataweza kubadilika. Siku sio nyingi tutanza kumuona kwenye band za wazee akitafuta hela ya ugali.
 
Mimi ni Mtanzania na ninapenda kuona wasanii wetu wakipanda na kujulikana kinataifa maana wanaitangaza Tanzania.
Lakini huyu Alli kiukweli anatembelea
Kick kupitia Diamond
Hana ubunifu
Hana kujituma
Yupoyupo tu
Yeye kubebwa na mashabiki tu!!!
..saiv naona anakosa hadi discipline anakata yule meneja unategemea kutakuwa na kazi hapo?hayo mambo wanamudu wazungu...Afrika tena tanzania mpenzi ndo meneja...wapi na wapi.Wataachania lile tusi letu maarufu "Ms****nge"..c tutaona
 
..saiv naona anakosa hadi discipline anakata yule meneja unategemea kutakuwa na kazi hapo?hayo mambo wanamudu wazungu...Afrika tena tanzania mpenzi ndo meneja...wapi na wapi.Wataachania lile tusi letu maarufu "Ms****nge"..c tutaona
hii ya kutembea na Maneja mimi bado siamini kabisa ila time tells
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…