Dada unamuona Defao?Ferouz?Mr Nice?......na wengine wengi...!ukiona tu ameanza kujihami kwa kujiita legend ujue tayari......Sipendelei na bila ubishi diamond ana vision sana....akiishiwa hata mashairi atajihami kuwa hata manager wa vijana wake...yeye anatengeneza nini saiv zaidi ya kuzua maneno maneno kutwa kucha kwenye mitandao.mara kazimiwa mic,mara cjui kafanyaje..yaani upuuzi tu..kiba badilika,kipaji unacho kubali kuna watu wamekuzidi mafanikio kimziki...basi pita wanapopita....Diamond amepita alipopita Davido leo huyo hapo...na wewe pita anapopita Diamond..wala usisikie aibu Kila kitu kina gharama zake.kujishusha ndo gharama ya mafanikio yake