Maana hata huyo Beyonce nwenyewe ni tiG0Bora huku kwetu 4:1 kule nadhani ni 2:1.
Haaa.. KumbeWasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.
4:1Wasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.
NAKUBALIANA NA WEWE MOJA KWA MOJA.Wasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.
Vipi kuhusu kanisa lake alilolianzishaa linaendeleaje na wafuasi wakeMashabiki wa Beyonce wanaumia pale Beyonce
atakapoumia.
Beyhive wameanzisha kampeni ya kujikata baada ya
Beyonce kujiumiza bahati mbaya kwenye sikio na
kutoka damu wakati anatumbuiza kwenye tamasha
la Tidal X.
Hata hivyo Beyonce baada ya kugundua anatoka
damu, hakuacha kutumbuiza.
Mashabiki hao wameanzisha Hashtag huko Twitter za
[HASHTAG]#CutForBeyonce[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BleedForBeyonce[/HASHTAG].
Mashabiki wa Beyonce pia waliwahi kumshikia bango
producer wa kipindi cha ‘106 & Park’ hadi
akasimamishwa kazi baada ya Karruache kumtania
mtoto wa Queen Bey kwenye kipindi icho.
OooooopppssssWasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.