Mashabiki wa Beyonce waanzisha kampeni ya kujikata baada ya Beyonce kutoka damu

Mashabiki wa Beyonce waanzisha kampeni ya kujikata baada ya Beyonce kutoka damu

hawa nadhani Trump atawanyoosha na kuwatoa ujinga - lakini kama akishinda
 
Mashabiki wa Beyonce wanaumia pale Beyonce
atakapoumia.

Beyhive wameanzisha kampeni ya kujikata baada ya
Beyonce kujiumiza bahati mbaya kwenye sikio na
kutoka damu wakati anatumbuiza kwenye tamasha
la Tidal X.

Hata hivyo Beyonce baada ya kugundua anatoka
damu, hakuacha kutumbuiza.
Mashabiki hao wameanzisha Hashtag huko Twitter za
[HASHTAG]#CutForBeyonce[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BleedForBeyonce[/HASHTAG].

Mashabiki wa Beyonce pia waliwahi kumshikia bango
producer wa kipindi cha ‘106 & Park’ hadi
akasimamishwa kazi baada ya Karruache kumtania
mtoto wa Queen Bey kwenye kipindi icho.
Weka picha tukuamini
 
[HASHTAG]#bleed[/HASHTAG] for beyonce

[emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

kwenye hao mashabki wake kuna wanaume
[emoji125] [emoji125]
 
Mimi ni shabiki wa beyonce na Jay Z. Ngoja niende nikanunue kiwembe nijikate nitoke damu[emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom