Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha tukuaminiMashabiki wa Beyonce wanaumia pale Beyonce
atakapoumia.
Beyhive wameanzisha kampeni ya kujikata baada ya
Beyonce kujiumiza bahati mbaya kwenye sikio na
kutoka damu wakati anatumbuiza kwenye tamasha
la Tidal X.
Hata hivyo Beyonce baada ya kugundua anatoka
damu, hakuacha kutumbuiza.
Mashabiki hao wameanzisha Hashtag huko Twitter za
[HASHTAG]#CutForBeyonce[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BleedForBeyonce[/HASHTAG].
Mashabiki wa Beyonce pia waliwahi kumshikia bango
producer wa kipindi cha ‘106 & Park’ hadi
akasimamishwa kazi baada ya Karruache kumtania
mtoto wa Queen Bey kwenye kipindi icho.
Hahahahaha kabisaBora huku kwetu 4:1 kule nadhani ni 2:1.
NAKUBALIANA NA WEWE MOJA KWA MOJA.Wasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.
Usifananishe ufipa na vitu vya kijingaMahaba mengine bhana! Halo mashabiki akili zao kama vijana wa ufipa kila kitu mwenyekiti akisema/akifanya naona wanafuata [HASHTAG]#tag[/HASHTAG] nyumbu ktk ubora wao#tag
Thanks.....sasa ngoja watokwa povuWasichojua That Was A Satanic/Masonic Ritual, Na Wanavyozidi Kujikata Ndivyo Lucifer Anavyopata More Nlood And Worship.
Akili Kumkichwa.
ndio maana analiwa mtandao pendwa,na wao wanaliwa pia