Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule wenye akili wapo wawili tu wala hawawezi kukuelewa mkuu.Kama kumeweza kuwepo na watanzania wanao isapoti Club Africain inashindikana vipi kwa Nabi ambaye Tunissia ndio home?
Mnashindwa kujiongeza au mnasubiria mpaka siku ya mechi Club Africain watupie bao ndio mumuone Nabi akishangilia?
Wewe tulia...angalia mbele sisi tunakuja nyuma kuchomeka mwiko.𝐌𝐚𝐬𝐡𝐚𝐛𝐢𝐤𝐢 𝐦𝐬𝐞𝐭𝐨 𝐦𝐧𝐚𝐰𝐞𝐰𝐞𝐬𝐞𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞
Pale jangwani umewasababishia presha kubwa sana kwa bandiko hili.WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN
1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji
2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27
3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27
4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29
5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22
NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita
Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alhabib come to dubai
Kadi za uanachama zinapatikanaje mkuu?Nimetokea kuipenda sana hii klabu siku hizi za karibuni.😂😂😂😂Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba kwa hamsa, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.
Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.