Mashabiki wa Club Africain tukutane hapa maana tuna jambo letu

Mashabiki wa Club Africain tukutane hapa maana tuna jambo letu

Yaani hata tukipata sare hapo Dar es salaam sio mbaya mechi tutaimaliza nyumbani kwa kuwapiga nyingi Tunis kwenye uwanja wetu wa machinjio Hammed Agreb.
 
Yaani hata tukipata sare hapo Dar es salaam sio mbaya mechi tutaimaliza nyumbani kwa kuwapiga nyingi Tunis kwenye uwanja wetu wa machinjio Hammed Agreb.
Kule lazima wale angalau goli 4 na kuendelea.
 
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba kwa hamsa, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.

Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
Ungesema WACHAWI mkutane si mnajulikana nyie ni wachawi tu?
 
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba kwa hamsa, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.

Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
mabao saba kwa hamsa ndio nini
 
Kama kumeweza kuwepo na watanzania wanao isapoti Club Africain inashindikana vipi kwa Nabi ambaye Tunissia ndio home?

Mnashindwa kujiongeza au mnasubiria mpaka siku ya mechi Club Africain watupie bao ndio mumuone Nabi akishangilia?
nabi ni mshabiki wa esperance
 
نویسنده متوقنحطنسسکوکطوییقثحثخقخقخقتتطوطوطوkibwana shomari متیویتزویقتیتزویثتث[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]mochwari
WABILAH taifik habib club Africain [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji517][emoji517][emoji517]
 
Back
Top Bottom