Mashabiki wa Club Africain tukutane hapa maana tuna jambo letu

Kama kumeweza kuwepo na watanzania wanao isapoti Club Africain inashindikana vipi kwa Nabi ambaye Tunissia ndio home?

Mnashindwa kujiongeza au mnasubiria mpaka siku ya mechi Club Africain watupie bao ndio mumuone Nabi akishangilia?
 
WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN

1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji

2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27

3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27

4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29

5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22

NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita

Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
 
πŒπšπ¬π‘πšπ›π’π€π’ 𝐦𝐬𝐞𝐭𝐨 𝐦𝐧𝐚𝐰𝐞𝐰𝐞𝐬𝐞𝐀𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐒𝐬𝐞𝐞
 
Wewe tulia...angalia mbele sisi tunakuja nyuma kuchomeka mwiko.
 
Pale jangwani umewasababishia presha kubwa sana kwa bandiko hili.
 
Ninaamini mmejiandaa vizuri kupelekewa moto.
 
Al habib habib thalatha bin thifuli wabilah taifik habib [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nipo Tunisia japo sijui kiswahili vizur Ila tutawapelekea moto utopolo mpka wamchape bakola manara
 
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba kwa hamsa, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.

Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
Kadi za uanachama zinapatikanaje mkuu?Nimetokea kuipenda sana hii klabu siku hizi za karibuni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…