Mashabiki wa CR Belouidad tujuane!


Hawa Yanga walisema ushindi wa Simba haukuwa unaipa faida ligi yetu. Acha wapate wanachostaili kwanza labda watajifunza.
 
Hawa Yanga walisema ushindi wa Simba haukuwa unaipa faida ligi yetu. Acha wapate wanachostaili kwanza labda watajifunza.
Walikosea sana, na wote waliokuwa wakisema hivyo hawajui mpira na mifumo yake, ama ni wajinga tu kama wajinga wengine.

Kwenye michuano ya CAF, vilabu vya nchi husika hutegemeana, ukienda Morocco utashangazwa na namna vilabu vinavyosaidiana.

Ni hawa watoto wa juzi tu ndiyo huwa hawaelewi, ila sisi watu wazima wote tunajua kama Monja Liseki wa Simba aliwahi kucheza Yanga kwa kuazimwa kwenye mechi ya CAF.

Ni kwa sababu ya ushirikiano.tu.

Ova
 
One in a million!
 
Sasa huo mfano wa Monja wa nini jamani? Lols
Nimecheka sana, walau unanipoza poza b…
 
Jamani wale sio HAMAS kweli wale mbona wanatembeza kichapo kama wamemkamata Ally Dangote
 
Mashabiki wa simba tujuane😂😂😂😂😂 simba akishinda katembeza bahasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…