Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Nifah ni vile nimetofautiana na wengi, wapo ambao ni mashabiki wa matokeo, ila mimi ni shabiki wa mifumo ya mpira wenyewe uwanjani.
Hawa mashabiki wa matokeo tu ya mechi ndiyo unaweza kuwakuta wakihama hama tu kila wikiendi kwa kufuata matokeo.
Ni vizuri Yanga ikishinda, kwa kuwa kutakuwa na faida kwa ligi yetu ya moja kwa moja au ya kupitia upande mwingine.
Ova
Hawa Yanga walisema ushindi wa Simba haukuwa unaipa faida ligi yetu. Acha wapate wanachostaili kwanza labda watajifunza.