Mvinyo bei ya mbaya kuleWaarabu wanapata fursa ya kuonja bia kupitia kombe la dunia. Wakijichanganya na hawa mashabiki ni kupiga mvinyo mchana kweupe
Aliyekuambia hao ni waarabu ni Nani?
- Wazee wa makobazi,
- Wazee wa raba
- Si ajabu ndani ya mifuko ya kanzu wameweka mafuta ya baby care
Kwani kuna sehemu nimeandika kwamba hao ni waarabu?Aliyekuambia hao ni waarabu ni Nani?
Samahani mkuu, wameenda kwa miguu?Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667
Hata hujaelewa pimbi wewe
- Wazee wa makobazi,
- Wazee wa raba
- Si ajabu ndani ya mifuko ya kanzu wameweka mafuta ya baby care
Wameenda na movieHahah wametishaa sana…
Mwarabu akikuona umevaa kanzu na kibaraghashia hata km alipanga kukulipua na bomu anaahirisha. Bila kujua kuwa aliyobeba mtu moyoni ndo muhimu.Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667
wahuni tupu😂😂😂Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667