Mashabiki wa Croatia waingia Qatar kibabe

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.

Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.
FB_IMG_16689263430446318.jpg
 
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.

Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667
Samahani mkuu, wameenda kwa miguu?
 
Tatizo la Hawa watu, unaweza kuvaa tu kwa kuheshimi Mila zao lakini unakuta hata mwanaume anskuambia " umependeza" hii kauli ni ya kishamba kwa maana mbili kwanza ni wanaeake wanaambiana umependeza pili anajionyesha kwamba Mavazi hayo ni Bora zaidi ya ambayo umezoea kuvaa
 
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.

Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667
Mwarabu akikuona umevaa kanzu na kibaraghashia hata km alipanga kukulipua na bomu anaahirisha. Bila kujua kuwa aliyobeba mtu moyoni ndo muhimu.
 
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.

Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.View attachment 2421667
wahuni tupu😂😂😂
 
Back
Top Bottom