ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.
Hao kwenye picha ni mashabiki wa timu ya taifa ya Croatia wakitinga Qtaar kwa njia ya kipekee.