Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Kimeanza kunuka huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna comment moja nlisema huyu pimbi ataanikwa soon!! Mambo ndio yanatokota na wote mtabaki vivywa wazi.

Ile kashfa ulipewa na KIGOGO2014 unakumbuka ilikunyamazasha mazima social media na hujajibu wanasimba tunamsihi akustahi akakuacha kawababu nae ni shabiki MNYAMA tumkumbushe akunyooshe enzi unaomba UDIWANI??

C&P [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Mdogo wangu Manara ;

Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana kuhusu mwenendo wako kwa jamii na Simba Sports

Nikajiuliza huyu ni Haji Sunday au Haji gani ?

Ninakufahamu vizuri mno kuliko vile unavyojifahamu

Nakutaka uite waandishi ujibu yafuatayo

1. Ulikua Madrasa ya Abasiya Kariakoo, ukatoka na kwenda Kadiria ambapo ulifukuzwa . Sababu ilikua nini ?
- Michango uliyokusanya umerudisha ?

2. Ukachukuliwa na Mbange , Je nini kilikuondoa kwake ?
- Ile pete unaikumbuka ?
3. Ukaingia NCCR Mageuzi , ulitokaje ?
- Nauli na Posho za wajumbe wa Mikoa ya Pwani na Kusini unazikumbuka ?
4. Radio Uhuru ulitokaje ?
- Pesa za matangazo ulikua unazipeleka wapi ?
5. Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam
  • Unakumbuka magari yale ?
  • Unakumbuka kuhusu mambo ya Segerea ?
  • Unakumbuka kuwa bado hujalipa madeni ya watu
6. Kwa umri wako leo umeshaoa wake wanne
  • Unakumbuka ulichukua RB kwa ajili ya mke wa kwanza ? Ili akupe nini ?
  • Kutomudu kuishi na mke ni udhaifu mkubwa sana
7. Mara ngapi umesababisha Mama yako kulala rumande ?
8. Nini sababu ya kuuzwa nyumba ya bibi yako pale mtaa wa bonde ?
9. Mkataba wa De la Boss umekuaje ?
10. Michango ya Chama baada ya kufiwa na mke wake umemkabidhi ?

Hayo ni kumi , ukipata majibu nakujilisha yafuatayo

1. Huna mamlaka ya Kila unachosema iwe kweli , yoote uliyosema ni uongo mtupu
2. M O yupo juu sana dhidi yako
i . Mjumbe wa NEC CCM Miaka 10
i i . Mbunge wa Singida miaka 10
i i i . Mfanyabiashara na tajiri Mkubwa Duniani
i v . Msomi mahiri
V . Mshauri wa Maraisi kadhaa

3. Hujawahi kufanya jambo ukamaliza kwa kheri na salama
4. Pongezi sana kwa uvumilivu wa miaka sita. Ila umesahau sana kuwa zipo kumbukumbu za malipo zipo
5. Unalalamika kudukuliwa ! Baada ya kubainika kuwa unahujumu ? Kama ni msafi wa matendo unaficha nini ?

Hata maandiko husema ‘huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja “

‘ huwezi kupanda farisi wawili kwa wakati mmoja “

Pata radhi za baba yako !

Nenda uendeko msaliti, mnafiki usie na jema. Ofice ya simba hata huijui iko wapi wala hujawahi kufika ofcn zaidi miezi
Ila ofcn za Gsm unaijua mana unashinda huko maisha ya kichawa ndio unayaweza.

Hebu jibu basi pesa za wanachama unazowachangisha kwenda kufungua matawi hata bila ya ruhusa ya mkurugenzi wa matawi.
Juzi tu umesikika kwenye clip ya sauti yako mwenyewe ukisema huna mkataba na unalipwa laki saba!

Kwenye press yako umekiri mkataba ulipewa ila hujasaini kwani una masharti sasa ni mkataba gani ambao hauna masharti!
Unasema husafiri na timu kweli wanasimba hawajawahi kukuona mikoani wewe.

Ulizuiliwa kwenda kwa sababu ulikuwa huna unachokifanya huko ni starehe na kuomba pesa kwa wanachama tu
Mbona mechi za uwanja wa mkapa hauji uwanjani kwani unajua hapa hakuna wa kukupa pesa!

Lakini kumbuka Simba ndio imekupa nafasi ukafika hapo ulipofika na ukatembelea nyota ya mafanikio ya simba wewe haukufanya kazi peke yako ulikuwa unafundishwa vya kusema na simba lakini leo unasema umeifikisha simba hapa.

Basi ngoja tuone simba ishuke daraja au ikose mafanikio kwa kukukosa wewe. Kiukweli wana simba washukuru sana wewe kutoka simba kwani ulikuwa unasabisha mechi zetu zinakuwa ngumu sana kwa mdomo wako mchafu ila simba wamegundua kuwa ulikuwa unatumika kuhujumu timu yao ndio mana wamekufukuza!

Walikustir tu kusema umeondoka mwenywe laiti viongozi wa simba wakiweka hadharani ushahidi ulivyokuwa unahujumu timu yao kwa tamaa zako Haji utahama nchi mana utakuwa huna lakusema.

Lakini subiri tu goma liko jikoni ikibidi utaenda Jela tena.

Hizo sifa zote ulimsifia ceo wa zamani ni za kujisafisha kwake kwani unajua ulimfanya mtoto wake na utaenda jela maisha tuvute tu subra.


IMG-20210804-WA0073.jpg


IMG-20210805-WA0002.jpg



Tutakuonesha kama unaendelea kutudharau!

Hadi uombe poo!
View attachment 1883228
 
Vitendo vya MO ndivyo vilivyofanya mdomo wa Manara uonekane una nguvu, I mean uwekezaji wa Mo uwanjani ndio uliofanya timu ifanye vizuri na hivyo Manara kuweza kuwashawishi mashabiki wa Simba SC waende uwanjani, nje ya hapo Manara ni useless tusidanganyane.
 
Haji atulie kwasababu anaogombana nao wameitanguliza club mbele,akitupa mishale kwa MO au Barbara,wanajibu mashabiki wa Simba tena wakijibu wanaingia mpaka kwenye ugali wake wa GSM na AZAM,kwamba Haji katumwa.

Haji atulie tu akijitutumua zaidi kutasababisha mtafaruku mkubwa kwa hawa matajiri wa kubwa MO, GSM na AZAM kwasababu kwenye press yake kadhihirisha yeye mwenyewe kwamba umaarufu na biashara ndo tatizo, kwenye press yake kataja AZAM na MO product.
 
Vitendo vya MO ndivyo vilivyofanya mdomo wa Manara uonekane una nguvu, I mean uwekezaji wa Mo uwanjani ndio uliofanya timu ifanye vizuri na hivyo Manara kuweza kuwashawishi mashabiki wa Simba SC waende uwanjani, nje ya hapo Manara ni hopless tusidanganyane.
Katumia fursa ya Simba kushinda kujipa umaarufu
 
Huyu ana porojo nyingi anapenda kujibizana jibizana (ligi ya maneno au mipasho) sasa wakitaka kumuweza wampotezee wasimjibu wala wasiendelee kuyaanika mabaya yake.

Yanga daima mbele
 
Haji atulie kwasababu anaogombana nao wameitanguliza club mbele,akitupa mishale kwa MO au Barbara,wanajibu mashabiki wa Simba tena wakijibu wanaingia mpaka kwenye ugali wake wa GSM na AZAM,kwamba Haji katumwa...
Huyu bwege anataka kugombanisha Bakhresa na Dewji sa anaponaje??
 
Huyu ana porojo nyingi anapenda kujibizana jibizana (ligi ya maneno au mipasho) sasa wakitaka kumuweza wampotezee wasimjibu wala wasiendelee kuyaanika mabaya yake.
Cjaona hata jipya hapo kwani yote yalikuwa yanafahamika miaka mingi tu!!lhayawezi kuondoa ukweli aliousema, kila mtu ana yake!!hadi sasa wanasimba wengi wala hawamtukani na wanauheshimu mchango wake
 
Huyu ana porojo nyingi anapenda kujibizana jibizana (ligi ya maneno au mipasho) sasa wakitaka kumuweza wampotezee wasimjibu wala wasiendelee kuyaanika mabaya yake.
Kumpotezea ni kuwapa kichwa Yanga huyu atachafuliwa na Simba kwa kutumia very normal people,

Ana siri nyingi chafu watu walizihifadhi. Kutokuchafua IMAGE/BRAND ya SIMBA, now that he's out he should learn to keep his mouth shut[emoji850][emoji850]
 
Mbona hujajibu hoja zake zinazoihusu Simba?

Kila mtu ana vijambo kwenye maisha yake binafsi, hata huyo Mo.
Nitajie hoja moja usije kuwa hujui tofauti ya hoja na maelezo
 
Kumpotezea ni kuwapa kichwa Yanga huyu atachafuliwa na Simba kwa kutumia very normal people,

Ana siri nyingi chafu watu walizihifadhi. Kutokuchafua IMAGE/BRAND ya SIMBA, now that he's out he should learn to keep his mouth shut[emoji850][emoji850]
Safi sana ye kamwaga ugali sie tumage mboga kisha tutoboe masufulia na tuchome hadi jiko la kupikia kabisaa
 
Tuseme uliyoandika ni kweli,Simba haikuyaona hayo mpaka kumpa nafasi?Jibuni hoja zake,acheni porojo!
Mimi ni Simba damu ila hawa Wahindi ni washenzi sana!
Taja hoja mbili tu, maana mnakarr kama nyumbu
 
Hajajibiwa tuhuma au hoja zake kuhusu MO , Barbara au Simba SC yenyewe.
Hapo ni kuchafuana tu bila kujadili hoja zilizopo mezani.
 
Mshangao mkubwa sana. Yaani wanaajiri mtu mwenye tuhuma lukuki kama hizo na bado wanampa na michango ya rambi rambi aiseeee
Keep record straight "HAKUAJIR1WA"

Si ni moja ya hoja zake au unajisahaulisha HAKUWA NA MKATABA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana ye kamwaga ugali sie tumage mboga kisha tutoboe masufulia na tuchome hadi jiko la kupikia kabisaa
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1306][emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Back
Top Bottom