EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
[emoji1756][emoji1756][emoji7]Mashabiki wanamjibu, viongozi wanasajili. Kwa Yanga, mashabiki wanamtetea, viongozi hawasajili [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe kaa kimya kama hujui HOJA za HMPeleka group la Simba basi. Umewaita wanaomtetea Manara halafu wakija unawafukuza??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Barbara Mbona unakuwa mkali yakhee?? Tulia dawa iwaingie nyie makabachori wanyanyasaji
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Habari ya Haji Manara. Ndio imeishaa...Simba sio Haji wala hana umaarufu Nje ya Simba....
Huyu ni nani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ana hisa ya pesa ngapi??Manara uenda akasababisha mmong'onyoko ndani ya klabu ya SimbaView attachment 1883183View attachment 1883184
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mnahangaika sana vidimbwi
Taja hoja yoyote nikuji kama unajua tofauti na HOJA na maelezo/malalamikoHaya yote hayana msingi kwa wakati huu hadi pale Manara atakapojibiwa hoja zake,haya kama Simba hawakuyaona mwanzo basi hakuna maana ya kuyaleta sasa kama MO na Babra watashindwa kumjibu Manara,cha kujiuliza huyu MO kama alikuwa na ugomvi na Hamisi kwanini sasa awe na ugomvi na Haji
Unajuaje kama hakuaonywa?? Si ndio maana akawa anaachwa kwenye timu?
Kulinda BRAND inage ni gharama kubwa kama kuijenga its takes time mpumbavu mmoja anaweza kuiharibu kwa a day or ana hour
Dada, hapo kuna HOJA yoyote umeitaja au unaendeleza MALALAMIKO? KAMA KAKAAKO HM?Sio kwamba mlikua mnambembeleza maana mkapa hadi mkataba akaringa kuusaini. Simba itoe onyo kwa manara na iwe siri maajabu. Alipozidisha kuitaja yanga kuliko simba alipewa onyo la wazi na kanji kule twitter na kila mmoja aliona sasa ya utapeli wa rambi rambi na michango mbali mbali mkaogopa kumuonya hadharani makubwa haya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hujaolewa wwe
Dada, hapo kuna HOJA yoyote umeitaja au unaendeleza MALALAMIKO? KAMA KAKAAKO HM?
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haji ManaraHM ndo nani?
Naendeleza style ya ulipotolea bandiko
Haji Manara
Ninakuja sister.....loading ......Naendeleza toleo la uzi huu
Kwani wewe ndio MO au Babra ?Taja hoja yoyote nikuji kama unajua tofauti na HOJA na maelezo/malalamiko
Nitajie nifunge UZI
We TAJA HOJAKwani wewe ndio MO au Babra ?
Neno. Sana mkuu mdomo hauwez kuifikisha simba ilipo ni uongo kusadiki kuwa manara kaifikisha simba hapa ilipo. Tujifunze kuwaheshimu watu waliothubutu kutoa kidogo chaoVitendo vya MO ndivyo vilivyofanya mdomo wa Manara uonekane una nguvu, I mean uwekezaji wa Mo uwanjani ndio uliofanya timu ifanye vizuri na hivyo Manara kuweza kuwashawishi mashabiki wa Simba SC waende uwanjani, nje ya hapo Manara ni useless tusidanganyane.