Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hata Vipers waliwapiga Simba kwa MkapaTuko pamoja na Horoya f.c. Kwa Mkapa sasahivi wanapigika vizuri sana, ni matumaini yangu hamtatuangusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Vipers waliwapiga Simba kwa MkapaTuko pamoja na Horoya f.c. Kwa Mkapa sasahivi wanapigika vizuri sana, ni matumaini yangu hamtatuangusha
Nimeota vibaya Simba ameshindwa ku qualify kwa mara nyingine kaanza kushindwa kumfunga horoya wamepata sare jmosHuu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.
Jumamosi tuna jambo letu.
View attachment 2550156
Wewe ni peponi Moja Kwa Moja, iyo ndoto Yako ni kweliNimeota vibaya Simba ameshindwa ku qualify kwa mara nyingine kaanza kushindwa kumfunga horoya wamepata sare jmos
Umefata nn huku kwenye mambo ya kitotoMashabiki wa yanga wana mambo ya kitoto..
Msishau kamati ya mapokezi
Horoya watatulipia mkuu. Tupo pamoja nao, Mungu ibariki horoya, Mungu wabariki wa Guinea, Mungu ibariki rajaHata Vipers waliwapiga Simba kwa Mkapa
Tena, si ajabu ni huyu huyu ndiye aliyeufungua uzi ule!Kuna huu uzi ulikufa kimya kimya wala hata mashabiki wa Vipers hawakuwasindikiza wachezaji wao airport:
Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club. Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda. Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende Niwatoe...www.jamiiforums.com
Horoya naye anatafakari mzigo mzito uliopo mbele yake, huo muda wa kuwalipia wala hata hanaHoroya watatulipia mkuu. Tupo pamoja nao, Mungu ibariki horoya, Mungu wabariki wa Guinea, Mungu ibariki raja
Baada ya mechi kuisha ndipo mtakapokumbuka kuwa kumbe kesho yake mnacheza na waarabu Monastir 😁Tuko pamoja sana, HOROYA DIE HARD FAN
Huwa hatuna huo ugay ugay wa kushobokea wanaume wenzetu,ni tabia mbaya sana hiiNaona upande wa pili huwa hawana USHAMBA wa namna hii!
Acha unafiki. Umefungua I'd mpya kisa kutafuta sifa?Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.
Jumamosi tuna jambo letu.
View attachment 2550156
Mbona mnaumia hivi? Yaani mtu kufungua I'd mpya nayo imekuwa kutafuta sifa? Sasa sifa zipi wakati humu tunaishi ki fake fake? Acha kuchukulia siriaz sana mambo ya humu utapata msongo wa mawazo bureAcha unafiki. Umefungua I'd mpya kisa kutafuta sifa?
Kila la heri kwenu.Tunaenda kufanya walichofanya Jwaneng Galaxy pale kwa mkapa