Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Mashabiki wa Horoya tukutane hapa

Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.

Jumamosi tuna jambo letu.

View attachment 2550156
Nimeota vibaya Simba ameshindwa ku qualify kwa mara nyingine kaanza kushindwa kumfunga horoya wamepata sare jmos
 
c0d1f25e-d392-433f-bddb-b1b56c46d438.jpg
 
Kwenye mechi hizi za kuamua hatma ya kuendelea na mashindano au kutoendelea, Simba huwa wanabadilika sana kiuchezaji, ni bora ukutane na Man City ya Guardiola au Barca ile ya ya kina Xavi, Iniesta pamoja na Messi kuliko ukutane na hao vijana wa Kariakoo.
 
Kuna huu uzi ulikufa kimya kimya wala hata mashabiki wa Vipers hawakuwasindikiza wachezaji wao airport:

Tena, si ajabu ni huyu huyu ndiye aliyeufungua uzi ule!
 
Huu ushamba utawaisha lini,???hivi mshaona kuna sjui bamako fans,au monastrienne fans..???acheni shobo..mwanzo mlikuja na vipers fans baada ya kuwalala mkapotea,sasa horoya fans mkawapokee uwanja wa ndege ila tukishawalala mkumbuke kuwasindikiza wanapoondoka pia.
 
Back
Top Bottom