Mashabiki wa Lisu wamwomba Mbowe amuachie Lisu

brownjosephati

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
549
Reaction score
674
Kumekua na malalamiko yakiambatana na maombi kwa Mbowe kumuachia Lisu.
Wote(hasa viongozi wa CDM) akiwemo Heche na Lema wamemuomba Mbowe apumzike huku wakijinasibu kuwa Lisu atamshinda Mbowe.

Swali:-
Mmeshajua kuwa Lisu anamshinda Mbowe sasa kwanini mnapeleka maombi kwa Mbowe kumuachia lisu????

Nakuomba Heche na Lema mkuje mjibu hili swali

Na Je Demokrasia itaonekana wapi kama mgombea atakuwa mmoja pekee?
Tutajuaje kama Lisu anatakiwa na wanachadema walio wengi?
 
Wakati wa Bwana ukifika hakuna Cha kuzuia

Mungu alimlonda na kimponya Lisu
Sasa anaenda kuonyesha ukuu wake kwa kuanzia Chadema na baada Ccm
 
Basi wakapambane kwenye sanduku hiki kilio cha maombi ni ya nini kama anajua anashinda
 
Waache upumbavu hao waache sanduku la kura liamue kama wajumbe wanamtaka Lisu au Mbowe hiyo ndio demokrasia kwq mujibu wa katiba ya Chadema

Lisu na team yake wanajua huu uchaguzi Lisu anashindwa tena vibaya mno

Ndio maana wanalialia mitandaoni na vyombo vya habari ili Lisu apewe ushindi wa mezani

Ushauri wangu kwa vyombo vya habari msiwape airtime timu Lisu tena waambieni wasubiri sanduku la kura

Mbowe hana shida hata mkimpa airtinr yeye anaamini kwenye sanduku la kura sio kele za ohhh Lisu ajitoe abaki yeye Mbowe tu

Team sio wana demokrasia kabisa kwa nini hawataki sanduku la kura liamue? Mbowe hakuna kutoka nakuapisha kwa jina la Yesu Demokrasia ya sanduku la kura ichukue mkondo wake

Team Lisu kama mnataka Lisu wenu apate ushindi wa bure mezani kwa Mbowe kujitoa hilo halipo

Mjue zimebaki siku sita tu kabla huyo Lisu wenu hamwagwa chini sanduku la kura ba kukimbia mbio kwenda ubelgiji na kuhama Chadema

Mwisho wake kisiasa Lisu ni siku sita zijazo
 
Ikitokea akamuachia kama wanavyoomba na akabaki Tundu Lisu pekee kama mgombea basi hakitakuwa chama cha kidemokrasia tena. Kama ambavyo Lisu aliamua kupambana na Mbowe hakuna sababu ya Mbowe kumuachia Lisu. Acha sanduku la kura liamue
 
Huna akili hao jamaa wanaona mbali, Mbowe wametoka nae mbali dalili walizoona ni kwamba Mwamba anaenda kufedheheshwa kama akiachia kwa hiyari heshima yake itabaki palepale
 
Kumekua na malalamiko yakiambatana na maombi kwa Mbowe kumuachia Lisu.
Wote(hasa viongozi wa CDM) akiwemo Heche na Lema wamemuomba Mbowe apumzike huku wakijinasibu kuwa Lisu atamshinda Mbowe.

Swali:-
Mmeshajua kuwa Lisu anamshinda Mbowe sasa kwanini mnapeleka maombi kwa Mbowe kumuachia lisu????

Nakuomba Heche na Lema mkuje mjibu hili swali

Na Je Demokrasia itaonekana wapi kama mgombea atakuwa mmoja pekee?
Tutajuaje kama Lisu anatakiwa na wanachadema walio wengi?
Aombwe na nani ww, msitake kujifanya kuwa ni tishio wa kihivyo.
 
Ikitokea akamuachia kama wanavyoomba na akabaki Tundu Lisu pekee kama mgombea basi hakitakuwa chama cha kidemokrasia tena. Kama ambavyo Lisu aliamua kupambana na Mbowe hakuna sababu ya Mbowe kumuachia Lisu. Acha sanduku la kura liamue
Team Lisu akili hawana na hawataki demokrasia ichukue mkondo wake

Mbowe hana shida hasemi ohh Lisu jitoe nibaki mimi tu

Timu Lisu wamezidiwa kuwa mtu wao Lisu anaenda anguka vibaya huu uchaguzi

Uzuri Mbowe yuko calm anasubiri tu sanduku la kura liamue

Team Lisu hawalali kutapatapa sanduku la kura wanaliogopa kqma ukoma

Kama Lisu anakubalika na wajumbe hofu ya nini? Si anajitapa yeye Lisu kuwa ndio yuko mioyoni mwa wajumbe wapiga kura? Kuwa hawana mpango na Mbowe kuwa kachuja kakaa sana na hana jipya Lisu ndie mwenye jipya.kuwa hata wahongwe na Mbowe kura watampa Lisu sababu ndiye aliye mioyoni mwao

Woga wa sanduku la kura ni wa nini? Wakati Lisu kajaa mioyo ya wajumbe hata wahongwe?

Team Lisu acheni utoto subirini sanduku la kura
 
Ndo nashangaa kwanini wanaomba mbowe amuachie lisu
Nashangaa kwa nini wanaogopa kura,hiki kipimo muhimu kama anakubalika atachaguliwa.Mwanzoni waliona rahisi ila mambo yanapoenda maneno yanazidi kuwa magumu.Ila nawapongeza Chadema hakuna chama cha upinzani ambacho kimewahi kuwa na uchaguzi wenye kuvuta watu kama huu.
 
Kumekua na malalamiko yakiambatana na maombi kwa Mbowe kumuachia Lisu.
Wote(hasa viongozi wa CDM) akiwemo Heche na Lema wamemuomba Mbowe apumzike huku wakijinasibu kuwa Lisu atamshinda Mbowe.

Swali:-
Mmeshajua kuwa Lisu anamshinda Mbowe sasa kwanini mnapeleka maombi kwa Mbowe kumuachia lisu????

Nakuomba Heche na Lema mkuje mjibu hili swali

Na Je Demokrasia itaonekana wapi kama mgombea atakuwa mmoja pekee?
Tutajuaje kama Lisu anatakiwa na wanachadema walio wengi?
Ni uhuru wa maoni ndani ya CHADEMA ..
 
CCM ghafla wamekuwa ni "motivational & Inspirational Speakers" wa namna gani uchaguzi ndani ya CHADEMA iendeshwe....

Inachekesha sana.
 
Team Lisu akili hawana na hawataki demokrasia ichukue mkondo wake

Mbowe hana shida hasemi ohh Lisu jitoe nibaki mimi tu

Timu Lisu wamezidiwa kuwa mtu wao Lisu anaenda anguka vibaya huu uchaguzi

Uzuri Mbowe yuko calm anasubiri tu sanduku la kura liamue

Team Lisu hawalali kutapatapa sanduku la kura wanaliogopa kqma ukoma

Kama Lisu anakubalika na wajumbe hofu ya nini? Si anajitapa yeye Lisu kuwa ndio yuko mioyoni mwa wajumbe wapiga kura? Kuwa hawana mpango na Mbowe kuwa kachuja kakaa sana na hana jipya Lisu ndie mwenye jipya.kuwa hata wahongwe na Mbowe kura watampa Lisu sababu ndiye aliye mioyoni mwao

Woga wa sanduku la kura ni wa nini? Wakati Lisu kajaa mioyo ya wajumbe hata wahongwe?

Team Lisu acheni utoto subirini sanduku la kura
Wasubiri sanduku la kura. Mbowe akishindwa naamini atamuachia Aliyeshinda.
 
CCM ghafla wamekuwa ni "motivational & Inspirational Speakers" wa namna gani uchaguzi ndani ya CHADEMA iendeshwe....

Inachekesha sana.
CCM ni chama tawala kinatawala nchi na vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanazingatia katiba zao

Mbowe katiba ya Chadema inamruhusu kugombea ni haki yake kwa mujibu wa katiba ya Chadema iliyopitishwa na vikao halali vya Chadema na kusajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa

CCM kama Chama tawala hatuwezi kubali porojo za kijinga kwa chama chochote cha siasa ikiwemo Chadema kusema ohh Mbowe kakaa sana aondoke wakati katiba yao haisemi hivyo

Ndio maana CCM kama chama tawalawa tumekakamaa hilo

Chadema zingatieni katiba yenu acheni uswahili.
Mbowe na Lisu kwa mujibu wa katiba yenu wote wana haki ya kugombea .
Team Lisu na Lisu wenu achen8 uswahili someni katiba yenu

Kama hamsomi CCM kama chama tawala inabidi kuwakumbusha ili msitoke nje ya reli ya katiba yenu wenyewe ambayo wala CCM hawakuwaandikia

Hiyo ndio maana ya utawala wa sheria kuzingatia katiba yenu pia
 
Back
Top Bottom