Waache upumbavu hao waache sanduku la kura liamue kama wajumbe wanamtaka Lisu au Mbowe hiyo ndio demokrasia kwq mujibu wa katiba ya Chadema
Lisu na team yake wanajua huu uchaguzi Lisu anashindwa tena vibaya mno
Ndio maana wanalialia mitandaoni na vyombo vya habari ili Lisu apewe ushindi wa mezani
Ushauri wangu kwa vyombo vya habari msiwape airtime timu Lisu tena waambieni wasubiri sanduku la kura
Mbowe hana shida hata mkimpa airtinr yeye anaamini kwenye sanduku la kura sio kele za ohhh Lisu ajitoe abaki yeye Mbowe tu
Team sio wana demokrasia kabisa kwa nini hawataki sanduku la kura liamue? Mbowe hakuna kutoka nakuapisha kwa jina la Yesu Demokrasia ya sanduku la kura ichukue mkondo wake
Team Lisu kama mnataka Lisu wenu apate ushindi wa bure mezani kwa Mbowe kujitoa hilo halipo
Mjue zimebaki siku sita tu kabla huyo Lisu wenu hamwagwa chini sanduku la kura ba kukimbia mbio kwenda ubelgiji na kuhama Chadema
Mwisho wake kisiasa Lisu ni siku sita zijazo