Mashabiki wa Lisu wamwomba Mbowe amuachie Lisu

Mashabiki wa Lisu wamwomba Mbowe amuachie Lisu

Kumekua na malalamiko yakiambatana na maombi kwa Mbowe kumuachia Lisu.
Wote(hasa viongozi wa CDM) akiwemo Heche na Lema wamemuomba Mbowe apumzike huku wakijinasibu kuwa Lisu atamshinda Mbowe.

Swali:-
Mmeshajua kuwa Lisu anamshinda Mbowe sasa kwanini mnapeleka maombi kwa Mbowe kumuachia lisu????

Nakuomba Heche na Lema mkuje mjibu hili swali

Na Je Demokrasia itaonekana wapi kama mgombea atakuwa mmoja pekee?
Tutajuaje kama Lisu anatakiwa na wanachadema walio wengi?
Wasikilize vizuri wewe Chawa! Hoja yao ni kwamba wanataka heshima ya Mbowe ilindwe!! Baada ya uchaguzi Mbowe hawezi kuwa huyu wa sasa
 
Back
Top Bottom