Mashabiki wa Liverpool Msijifanye Mko Bize na Video za Yule Bwana, Barca Wamewafata Kwenu

NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Tupe matokeo sasa maana tulikuwa busy na video fake ya mchungaji
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Ehe mwisho ikawaje?
 
Tunahitaji wa photoshop.ha haaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hebu waoneeni huruma hawa ndege πŸ“πŸ“πŸ“wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wametoka wapi tena?he hee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hebu waoneeni huruma hawa ndege πŸ“πŸ“πŸ“wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wametoka wapi tena?he hee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…