Mashabiki wa Liverpool Msijifanye Mko Bize na Video za Yule Bwana, Barca Wamewafata Kwenu

NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Tupe matokeo sasa maana tulikuwa busy na video fake ya mchungaji
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Ehe mwisho ikawaje?
 
Tunahitaji wa photoshop.ha haaaa
 
😂😂😂hebu waoneeni huruma hawa ndege 🐓🐓🐓wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.😂😂😂
Wametoka wapi tena?he hee.
 
Back
Top Bottom