Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HONGERENI SANA SANA SANAMiujiza tuliyotarajia imetokea.
sijakuelewa mkuutunatoka eee nadhazi umeona mziki ukivyokua [emoji23]
Mkuuuu hapo ulipo unatamani saaa irudi nyuma au siyo. Cant walk alone forever, manina zako.
This is liverpool
Tupe matokeo sasa maana tulikuwa busy na video fake ya mchungajiHizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Epic Comeback to Grace UCL at Semi Final Stage... Liverpool 4 - 0 BarcaTupe matokeo sasa maana tulikuwa busy na video fake ya mchungaji
Na amesahamehewa pia kwa kuzungumza kejeli.
Ehe mwisho ikawaje?Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Tunahitaji wa photoshop.ha haaaaHizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa Soka Macho Yetu Yanahamia Huko sasa, Mashabiki wa Liver mnatarajia muujiza wa Photoshop au Uhalisia?
Ha ha haa,kabakwa yeye.raha sana wiki hiiWewe unashabikia ubakaji eh?au hujui kama barca wata mbaka mtu leo?
Wametoka wapi tena?he hee.😂😂😂hebu waoneeni huruma hawa ndege 🐓🐓🐓wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.😂😂😂
Wametoka wapi tena?he hee.😂😂😂hebu waoneeni huruma hawa ndege 🐓🐓🐓wa malikia,mpaka saa hizi washaloa na mvua.hawajiwezi.halafu mnawaletea na wabakaji kutoka catalunya.😂😂😂
Wewe unashabikia ubakaji eh?au hujui kama barca wata mbaka mtu leo?
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
Tunahitaji wa photoshop.ha haaaa