Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa.

Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana ushirikiano sana licha ya kuwa hapa sina uhakika.
 
41dpA2wVE-L.jpg
 
Na hata akihama anahama kimwili tu kwa ajili ya pesa kiroho anabaki kwenye timu yake ona Manara anavyopata shida kuifuatilia Simba
 
Back
Top Bottom