Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

Tajiri wa Babeli

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
126
Reaction score
53
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema

."walimwita mwanajua maana alijua yvote,,
hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,,
hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita tulimwaga mbegu,,
hakwenda shule ila aliheshimika kama mwalimu,,
walikuja madogo wajanja na wenye pesa wakauliza mama ukivaaje unapendeza,"

tunawaomba mashabiki wa dizasta mje mtueleze huyu mwanajua ni nani? ni kitu gani ili na sisi tuelewe.
 
Jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi ziwa Tanganyika huko.

Jua likichomoza hata mbegu hustawi.

hua halijaaenda shule ila linatumika watu kujua majira( mwalimu)

Kwahyo mwanajua yaweza Kua ni Jua au Umaarufu.
 
Back
Top Bottom