Mashabiki wa Plateau tumejitokeza kwa wingi airport kuipokea timu yetu

Wachawi katika ubora wao
Mkuu kwenye ukweli tuwe wakweli. Mimi ni shabiki wa simba lakini aina ya ushabiki wa Manala siupendi kabisa. Ushabiki wa Manara unaleta uhasama kati ya mashabik wa Simba na Yanga.

Ni zaidi ya miaka 80 hizi timu zipo lakini kwa miaka hiyo yote hatukuwa na uhasama wa aina hii. Tulikuwa na utani lkn siyo uhasama. Ilikuwa timu ya nje ya nchi inakuja na ikitokea ikaishinda yanga wana simba tumekuwa tukiishangilia humo humo uanjani. Lakini nje ya uanja hatukuwa tukionyesha ushabiki.

Lakini kwa sasa ushabiki unaanzia nje ya uanja. Na chanzo cha yote haya ni Manala. Namuomba manala afanye ushabiki wa utani kama tulivyozoea kwa miaka yote lkn aache ushabiki wa kashifa. Vinginevyo akae pembeni asitujengee uhasama kwa wananchi wa nchi moja.
 
ila mvae nyekundu na nyeupe na mje na kiroba cha kubebea magoli
Tujitahidi tarehe 5/12/2020 tujitokeze kwa wingi kuwasapoti na kuwatia moyo wanaplateau ili ipate ushindi wa kishondo dhidi ya timu ya Simba.
 
acha urongo babu nyie mnapiga mashabiki wa simba kila mara umesahau
 
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu ushabiki anaouleta Manara, ni kama mtu mwenye tatizo fulani la kudumu.
Ila hii tabia ya mashabiki imechangiwa na mambo mengi sana mkuu, mabadiliko kwenye maisha yanakuja na mambo yake
 
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu ushabiki anaouleta Manara, ni kama mtu mwenye tatizo fulani la kudumu.
Ila hii tabia ya mashabiki imechangiwa na mambo mengi sana mkuu, mabadiliko kwenye maisha yanakuja na mambo yake
Mabadiliko kwenye maisha Ni sababu ya msingi sana mkuu nimekuelewa vyema watu wana msongo wa mawazo sasa ukiwagusa kidogo tu wanatafuta pa kupunguzia hasira
 
mkuu huna hoja,rudi kalale tu. niliposikia tu mimi shabiki wa Simba nikajua huyu ni utopplo anatafuta pa kujifichia
 
Manara amepewa kazibya kuhamasisha kujaza uwanja. Hii technique ya kuwakera upande wa pili inaonekana inafanya kazi vzr ndio mana uwanja unajaa. Simba hawawabagui washabiki wa yanga uwanjani kama wafanyavyo yanga.

Kwambinu hii ya kuwakeraaaa uwanja unajaa hata kama gemu inaoneshwa kwenye tv huko vibanda umiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…