Kwenye kuchukua hiyo tuzo ya saba, ndo unatakiwa usahau kidogo mkuuWatching someone saying Messi isn't better inachekesha...
Fainali za Copa America Mara 4..
Kombe la Dunia Mara Moja
Na bado anakwenda kuongeza ballon Dor ya 7....
Definition of a pure player..
Tunaojua Moira
Cr7 anachukua EURO, lakin kazi kubwa ilifanywa na watu wengi
Ata fainal cr7 alikuwa majerui wanaume wapo uwanjani wanakichafua
Messi sitaki kumzungumzia
.Asante.
Wanasema Ronaldo anashikilia rekodi ya dunia kuwa na magoli mengi kwa timu ya taifa, wakati kule Ulaya kuna vitimu kama San Marino, Malta, Scotland, Northern Ireland, havijiwezi kila siku vinafungwa 6-0, 7-0,
Kama Messi angekuwa Ulaya angekuwa na magoli 2000 akiwa na timu ya taifa.
Hiyo Champions League Messi anaichukua next season akiwa na Aguero pale Barcelona.
Bro mbona unajaa upepo hivoo, messi kupata kikombe hicho ni chachu tu maana kiukweli ni jambo lilikua linamkera sana CR7 alifanya hivo 5 yrs ago! bado kikombe hiko hakimfanyi mess kuwa zaidi ya mwenziwe kumbuka hawa ni wachezaji wawili tofauti kila mmoja ana ubora usiofanana wala kufikiwa na mwenziwe.Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa
Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa
Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.
Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.
Daadeki zenu nyinyi.
View attachment 1849190
Mkuu toka Ronaldo achukue Euro Basi mashabiki wake wakaanza kumbeza Messi kwakua hajachukua kombe lolote lile akiwa na timu yake ya Taifa na kusema Messi Ni mtoto tu kwa RonaldoBro mbona unajaa upepo hivoo, messi kupata kikombe hicho ni chachu tu maana kiukweli ni jambo lilikua linamkera sana CR7 alifanya hivo 5 yrs ago! bado kikombe hiko hakimfanyi mess kuwa zaidi ya mwenziwe kumbuka hawa ni wachezaji wawili tofauti kila mmoja ana ubora usiofanana wala kufikiwa na mwenziwe.
Kwani wewe huangalii mpira,huwezi kumtambua Nani ni Bora kuliko mwenzake?Mimi sitakagi kuumiza kichwa sijui mchezaji Gani Ni zaidi ya Nani ..hiyo Kazi nishawaachia watu wa Ballon d'Or[emoji123]
Wivu tu [emoji2]Kwanza kubeba hilo kombe huko Amerika ya Kusini ni kama kumsukuma mlevi, Euro ndio kila kitu bingwa wa dunia toka 2006 ametokea Europe , huko Amerika ya kusini imebaki tu heshima ya watu wa kale...povu ruksa[emoji3475][emoji2089][emoji1787]
Kwani Fainali kafungwa Nani? [emoji23][emoji23] Mbona unajitoa ufahamuMessi win Copa America against Ecuador, Peru, Colombia, Chile and non of them can compete with euro 2020 teams
Sasa ndo ujumlishe magoli yote ya Ronaldo aliofunga EURO ukipata jibu kaa nalo mwenyeweGoli5 alizofunga CR7 Euro hizo timu ulizoziandika zilikuwepo!!?
Popote kambi ?Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?
Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.
Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.
Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.
Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
Sasa ronaldo bila Modric na Modric ni Sterling aliye changamka.Messi bila barcelona ya Xavi na Iniesta ni Di maria aliechangamka.